Sijui nitoe maoni ya namna gani ila Nkpnd san kwa ajili ya Allah na natamani hichi ulichosema ama kuelimisha kisambae kila mtu kimfikie
baaraka llaahu fiik akh
2026-08-10 20:55:37
20
1235zayomi :
Huyu shekhe namkubali sana
2026-08-10 15:45:46
10
Ifah :
Honestly cjawahi kukutana n sheikh ambae ataongea kuhusu value ya mwanamke out of ya kua mke wa mtu. Alichoongea yule mdada ni kwamba hana degree 4 aishie kua mama wa nymbn. Kamaanisha kua hawez kupoteza jitihada zake zote alizofanya ili aishie tu kua mtu anaemshughulikia mwanamme wakat yeye mwnyw anaweza kufny kitu kikamletea tija, heshma na thamani. Kwann identity ya mwanamke iishie t kua mke wa mtu? While unasema karne imebadlk kua mwanamme gan ambae unakaa nymbn ili akugeuze mama ake wa pili halaf akuthamini? Kwann atoe experience ya aina ya wanaume au jinsi ya kulea watoto kwan mwanamke yeye n mtu wa kuzaa tu au kumshughilikia mwanamme? Tena siku hizi kuna neno linatumika kama dharau”SINGLE MOTHERS” ambalo linatumika kama dharau amabayo watu wanahisi kama single mothers ni watu ambao hawana waume while kuna watu wameolewa and still wanalea watoto wao peke yao bila ya waume zao. Where do you expect mama kama uyo apate kipato akiwa mda wote anamshughulikia mwanamme. Ifike wakat viongoz muamue kusema ukweli. PATRIARCHY RUINS ISLAM
2026-08-11 04:12:20
3
mbeya_outfits :
Nadhani Shekhe ukusikiliza hiyo clip hadi mwisho, hakumaanisha hatakuwa mke, ila je alisoma ili end goal iwe ni mke tu??? Anaweza kuwa mke pia anaweza kufanya kazi za aina ya kusoma
2026-08-11 09:09:18
1
amaya online decorations :
nina diploma nilikua nikifanya kazi nikaacha nikabak nyumban ili nihudumie watt na mume lakin uyo mume manyanyaso hakuhudumii na kuniacha hapo kuondoka kabisa nitafanyaje itabidi nirudi tena kutafuta kazi
2026-08-11 04:16:18
1
ABDULAZIZ HUSSEIN :
wengine wamesoma lakin hawajui kitu
2026-08-11 12:09:04
1
Ramadan Rashid :
sheikhe wangu pendwa katika listi yangu kwa watoa dauwa hapa bongo Allah akuhifadhi🥰🙏
2026-08-11 08:08:59
3
man pillen☝️ :
Naam sheikh wangu
2026-08-10 16:22:07
1
bint_ibrahim96 :
BarakaAllah fyk 🌹
2026-08-10 16:40:07
1
majidadam :
Swadakta Sheikh endelea kutoa nasaha kwa uma uko sahihi kabisa.
2026-08-10 19:29:53
1
Real.MDEL ONE_ :
@shekhe shams elim
2026-08-11 08:14:22
0
hassan :
Mashaallah Kwa ufafanuzi mzuri
2026-08-10 16:44:34
1
user4372724514484 :
mashaallah.Allah akubariki sheikh.huu ni ushahidi mbele ya Allah,siku ya kiama.usahihi WA mambo kuhusu jukumu la mwanamke.shukran.
2026-08-10 22:23:10
1
Mh'Mbunge :
safi sana maalim wangu bora ulivyo ongea naoo hivi viumbee
2026-08-11 08:26:56
0
user818263508440 :
Nakupongeza shekh kwa majibu sahihi kabisa uliotowa kulingana na ujumbe ulioletewa.
2026-08-11 09:29:32
1
Shaban Salehe :
Asante shekh kwa ujumbe
2026-08-10 15:39:23
0
mohando :
mungu anamunaa uyoo dada ata hana hizoo digreee 4 nisifulii huyooo ss tunaolewaa na kuzaa mimi nina 3 inshaallah allah anipee tenaa wengineee na napendaaa kupikaaa atalii kwanzaa mume wanguu akilaa chakulaa changuu nafulahiii. sana
2026-08-11 02:35:57
1
abloyal_ :
masha Allah tabarakallah
2026-08-10 22:15:22
0
olabisi :
Alhamdulillah walah neematul lslam
2026-08-11 12:40:36
1
leylah573 :
Hazina yetu.. Allah aku hifadhi
2026-08-11 04:55:41
0
Hamisa Abdallah :
mashaallah
2026-08-11 03:54:53
0
simbaabdillah4 :
Allah amhifadhi amsamehe huyo mama naakuhifadhi shekhe shamsi elmi
2026-08-11 04:22:17
0
MzeeWaVyombo :
Maa shaa Allah
2026-08-11 06:04:51
0
To see more videos from user @shamselmiobsiye, please go to the Tikwm
homepage.