@taimediatz: #HABARI Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto, amempongeza Isaya Yunge, mwanaume anayetarajiwa kumuoa binti yake Charlene Ruto, akimsifu kwa ujasiri wake na kumtakia safari njema katika hatua hiyo mpya ya maisha. Rais Ruto alitoa pongezi hizo wakati wa sherehe ya uchumba wa binti yake Charlene Ruto, iliyofanyika nchini Kenya tarehe 8 Agosti 2026. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
politics aside, every parent wishes best for his children.
congratulation
2026-08-10 17:53:06
492
Davii :
hii Ni mchezo wa town, money roudering at its best.
2026-08-10 19:09:14
6
kaumbya🇹🇿 :
tz akuna kitu tunashindwa nivile atujaamua tu 😅
2026-08-10 16:16:56
475
Hoodie point! :
we are eagerly waiting for Gachagua's press conference
2026-08-10 18:56:11
2
𝐹𝑎𝑦𝑧 𝐹𝑟𝑖𝑧𝑦𝑙🇰🇪🇰🇪 :
so mtajifanya hamjaskia "nakusaambia"😂😂😂Another word to be misused
2026-08-10 17:49:38
53
🌴 :
Kwa hivyo Kenya wameolewa Tanzania 😂✌
2026-08-10 16:19:00
277
Ngosha Family💪 :
Asantee ruto kwa kutambua ujasri wawasukuma
2026-08-10 16:37:56
90
James Njeru :
Ruto has brought up great children. Disciplined, intelligent and polished. I love all of them especially Charlene and George. That boy is very intelligent.
2026-08-10 16:41:58
210
Gerald Kimeu :
karibu asahau apeane promise ya in the next six months
2026-08-10 17:03:11
52
Karin ka mutha :
ama ruto si mbaya sisi do wabaya
2026-08-10 17:49:12
48
ifulong cultural tourism :
kabisa he is risk taker😂
2026-08-10 16:53:20
15
RFm :
this man deserve 🙏🙏🙏
2026-08-10 18:01:10
2
Achna martin :
hta mim ntaka msukuma nitakuja na ugali 😁
2026-08-10 16:57:44
35
password :
Mko sure ii si ukora ya ruto 😳😳😳 I still cant believe in ruto
2026-08-10 17:49:49
5
Mr Gurisha :
Ila ni kweli Isaya anastahili ponengezi Congratulations 🎊 ISAYA YUNGE
2026-08-10 17:57:31
11
Mose luckyboy :
prepare kuona ujasiri wangu ata mimi nitapenya kuna mwenye nimemlika najua hutamini.
2026-08-10 18:15:18
8
MIROZ :
sharline unangalia nini uko nyuma baba akiongea🥰😂😂
2026-08-10 17:57:49
7
Mwl Julius Kiwovele :
kwahiyo tumeioa kenya😁😁😁
2026-08-10 16:24:23
72
Nadashy :
lakini n ukweli kiswahili ilikufa Kenya.🤔🤔🤔🤔🤔 nakusambia ???
2026-08-10 16:39:00
5
mama Lady :
Prezo wetu ni handsome 🤣🤣🤣🤣
2026-08-10 17:56:10
7
SULTAN _Amir_254🇰🇪🇶🇦🇨🇦 :
After 6 months utamrudisha😂😂😂
2026-08-10 16:41:26
51
GenZ president💪💪🫅🫅 :
watu wote nyamazeni baba mkwe anaongea🤫🤫🤫
2026-08-10 17:41:42
11
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.