@letstalk_tanzania: Ila MAMA ZETU bhana 😂🙌🏾 #tanzaniantiktok🇹🇿

Letstalktanzania
Letstalktanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 15:42:06 GMT
28482
3093
53
105

Music

Download

Comments

user6808012653075
hamis seif :
niliamka asubuhi bila kutandika kitanda ,mama alivoenda chumbani kwangu akakuta sijatandika kitanda akauliza kwa sauti nani uyo amefufuka kama yesu
2026-08-10 21:54:33
22
anney1126
anney :
Tulienda kununua viatu, muuzaji kaenda kuomba chench kachelewa akasimama njian anaanza kuita we kaka iyo chench umeenda kufata sehem za siri au🤣🤣
2026-08-10 21:19:24
28
girlie2702
girlie@ :
aliniambia iyo redio ya baba ako maliza chaji akija utamsomea taarifa ya habari
2026-08-10 21:44:47
18
tfatytfaty
T faty 🍓🌹 :
me nilipolomosh vyomb kwenye kabati mama akaniuliza usha zaa 😂😂
2026-08-13 20:08:55
3
joshuaelvish2
hackerElvish :
mama tutakula nn ?? Tutakula viapo
2026-08-13 20:35:29
7
honeyjulie55
🍇🦋juju🦋 :
mi msioshee vyombo 😂 wanang angalien cartoon nitakuj na defender 🤣🤣nikiwa narud watakuj kuosha vyombo wanang 🤣🤣🤣🤣 🙌 i have never heal ila mama Ang 😂🙌
2026-08-12 22:03:07
6
hawanimafuru
Hawania❤ :
niliangusha masufuria ndani akaniambia nina fujo kama amenizalia gereji😂
2026-08-10 20:57:36
10
madalaka.mnyonge
Madalaka Mnyonge :
nilimuuliza mama haya maji machafu nikayamwange,? akajibu yaoge
2026-08-10 17:48:28
5
tunneykimaro11
tunney 🔐💫 :
nilimwambia siwezi kula chakula kilicho lala akaniambia kiamshe 🙌
2026-08-10 19:38:11
6
janeteliasbunzali
Jenny😍 :
Mm niliambiwa tembeza miguu matak yapat kwenda😂😂😂
2026-08-13 18:23:22
2
jackline.swai8
Jackline Swai :
My mom she is very funny Yaani unaweza ukamuita akaitika ukimuuliza uko wapii anasema Niko mbinguni naota jua na ni usikuu 😂😂😂
2026-08-11 07:40:53
3
user2280548621004
waridi♥️ :
mama sioni mwiko aaa itakua nmemuazima jirani🤣🤣🤣
2026-08-10 17:42:18
3
stephord252
Stephord#252 :
Vipi baba tufunge getti au bado unatoka😂😂
2026-08-10 20:07:54
2
gee14017
gee :
mama chakula kina moto sana mama: uliambiwa kimetoka kwenye friji 🤣🤣🤣🙌🙌🙌
2026-08-13 15:16:54
2
user9042972666132
Lizzy🥰😘 :
nilimpa mama maji nikamuuliza niweke wapi weka kichwani
2026-08-10 18:02:46
3
agnesshamis66gmai
queen love ❣️ :
usiende sokoni nitakuja kwenda mm
2026-08-10 17:09:14
2
c_skie7
THE.BAD.NEIGHBOUR :
Me: Mama chumvi hii hapa Mama:Si nina mikono kumi kama Mungu wa kihindi huku nipike huku nishike chumvi, huoni pa kuweka eeh
2026-08-10 21:56:43
2
chidyclass74
@st⭐n designer :
😂😂😂😂ila Wamama wa kiafrica
2026-08-11 05:48:39
1
goodlucklucas476
Goodluck Lucas :
Nilifagia uwanja nikamuliza mama nikatupe wapi taktak. kaniambia katupe seblen mwanangu
2026-08-14 16:04:22
0
saraactress0
saraActress :
nilimuamkia akanijibu kaka mali kauze
2026-08-14 21:30:57
0
user3001455676880
bby karembo😘 :
mwanangu alinambia mama nipange vyombo kabatini nikamwambia apana vikunje panga kwenye begi af Leo msije kanisani ndakuja kuwahubilia mwenyewe
2026-08-14 18:59:12
0
gemglizy97
Elizabeth Obeth🇹🇿 :
daah
2026-08-14 20:04:07
0
mariam22wad
user7144382708192 :
me nlimuulza mama unaenda wapi... akajbu kwa mganga🤣🤣
2026-08-14 19:41:11
0
adella.philimon7
Adebora58❣️ :
Aliniambia niwashe moto ukazma akaulza uko shulen mnaendaga kufanyaje
2026-08-14 16:08:07
2
can_breezy
can_breezy🇹🇿🇷🇼 :
Natoka hivi naww utoke sawa baba😂
2026-08-10 22:20:09
0
To see more videos from user @letstalk_tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About