ana kua anakutega ili ujae kwenye mfumo. ujielezee akutandike wazazi usiwaamini ukiwa nao karibu ukiwa mbali mwamini tu mama na baba ukiwa karibu baaba kwambaali mama we fkiria alinishawishi niwe nampa hela zangu anitunzie nqmqliza lasaba siku yasheree ananambia kesho shambani olewako ulete uvivu kama wasiku ile 🤣🤣
2026-08-11 07:54:29
1
Mrs Rich :
nisameheni nime kosea njia🤣🤣
2026-08-10 18:19:52
0
nuhnuh💞 :
zambi za genz anazijua?
2026-08-11 04:05:46
0
@kembalh t, :
ushawah date na mubaba ukiwa na umri kama wangu 😁😅
2026-08-11 06:20:29
0
Linah Laulian :
ayuko siliasi uyu mzazi🤣🤣🤣, maana vitu nafanyaga aibu naona mimi😂😂😂