@laughs_on_leonardo: WATU WA MBAGALA, MTUAMBIE 😂😂😂😂 Ni sekeseke gani,au stori gani ya ajabu—iwe ya kufurahisha au kusikitisha—umewahi kupitia kwenye route ya Gerezani–Mbagala? 😂 Miaka 25 iliyopita, Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Abdallah @abdallahulega Ulega naye aliwahi kupitia changamoto za usafiri kwenye route hiyo. Leo hii, tunashuhudia hatua kubwa ya maendeleo baada ya Serikali chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan , kuzindua mradi wa mabasi ya mwendokasi BRT kutoka Gerezani hadi Mbagala. Kutoka kwenye foleni, msongamano na sekeseke za usafiri wa zamani, mpaka kwenye usafiri wa mwendokasi—hii ni hatua kubwa kwa wakazi wa Mbagala na maeneo yanayozunguka. 🇹🇿 Sasa hebu tuanze na wewe: 👉 Ni tukio gani la kukumbukwa zaidi umewahi kupitia kwenye daladala za Gerezani–Mbagala? Tupatie stori zako kwenye comments—za kuchekesha, za kusikitisha, za kushangaza… zote tunataka😅😅 🎥: @jaykiporo @sixndale @mjomba_kadidi @boaz.niva Edits: @jaykiporo

Leonard Butindi
Leonard Butindi
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 15:45:05 GMT
178602
26250
484
432

Music

Download

Comments

fridabelle4
Winnie♊️🦋❤️ :
Unaijua kisemvule gerezan wewe😂😂😂😂😂
2026-08-11 07:27:11
17
abby26u
babaayman :
Yani mbagala hata kama gari liko tupu bado unaweza ukakosa sitii😂😂
2026-08-10 15:56:01
256
officialyoungd2
@YOUNG-D🫍🇻🇳 :
nili ibiwa cm kamata
2026-08-10 16:20:12
102
user85516549944005
stannie@17 :
kuna hizi za mbagala-kawe😂
2026-08-11 03:53:02
29
malone.just.r
malone just.r :
ikifika 1k mnistue
2026-08-10 15:49:22
42
its.dyaz
its dyaz🧸🌸 :
Situeshenship😂😂💔
2026-08-10 16:09:43
0
joemtina.og
joe :
I'm the First like for me please
2026-08-10 15:48:31
0
spazzo_9
Spazzo dee🔥❄️ :
fist coment😂
2026-08-10 15:50:25
0
turian292
K, I, N,G🤴 M, H, A, G, A, M,A :
I LOVE U MOTHER
2026-08-10 15:53:19
0
trent66804
Trent66 :
😂😂 Kila siku sipati like leo nataka kumitu.
2026-08-10 16:00:03
179
dizzy.jefu.mabask
DIZZY JEFU @MABASKELI :
kama unampend Leonardo tiy leki hap
2026-08-10 15:51:51
40
dehane_iam
dehane_iam :
kuna wat tulisahau kama kuna seat kweny daladal😂😂🤣
2026-08-11 06:43:55
9
lechaking
Lecha@king :
Kuna Gari ilikodiwa kuna abiria aligoma kufaurishwa
2026-08-11 05:54:10
18
mfaume11
MFAUME Amk :
ye hakuacha ndala😁
2026-08-10 16:03:36
0
mc_kapinga
MC KAPINGA :
Nilipanda zile za kulipa BUKU BUKU, zinaanziaga Karume pale (Machinga) to Mbagala, kumbe hazipiti Kwa Uhasibu-Kwa Azz, zinapita Tandika ndani ndani huko zinatokea Mtongani, GHAFLA nakuta tupo Mtongani na mi nashuka kwa Aziz Ally, nikamuuliza Konda imekuaje mbona Mtongani tena wa Kwa Azizi ally inakuaje, KAKA! Sijui lile KONZI nilipigwa na nani, na basi zima walitoa Masonyo hayo dah!!! Na kushuka yenyewe ilibidi nipite dirishani, maana nilikaa siti ya nyuma hakuna aliyetaka kunipisha😂😂😂
2026-08-11 05:45:13
8
vortex_alpha_
vortex 🇹🇿 :
Wakazi wa Mbagala Oyeee 🗣️🗣️
2026-08-10 16:41:08
11
drizzy_montana_
drizzy :
mbagala kuna nauli zetu ikifika jioni..hzo serikali wakijua daladala zote mbagala gerezani zinafungiwa😂😂😂
2026-08-10 16:43:08
27
user8813391176691
men_dozzer :
wa2 wambagala 2 tutavijua V2 hivi😆😂🤣🤣😂😅😁
2026-08-10 18:31:59
5
husseinndabalinz2
Hussein Ndabalinze :
kwa anae tokea mbagar anaelewa hiii🤣🤣
2026-08-10 16:27:15
7
prudent_t
Prudent Tz 🎶 :
hata kwenye mwendokasi bado shida ipo. gerezan to mbagara jioni kuanzia sàa kumi ni vita vya tatu vya dunia
2026-08-10 18:44:49
10
mzee.wa.jambo
Mzee Wa Jambo :
hiyo ya utabiri na kugadi nafanya sana !!!!! juzi nimetoka kimara mpaka mbagala nimeshika bomba😅😅😅😅😅 kila niligadi wapiii wanashuka siti zingine 😄😄😄😄😄
2026-08-10 18:23:56
21
officially_gee_upole
KõndĘ ~ KĩD ✨🤍 :
Kwa HESHIMA 10/10🔥🌍✅
2026-08-10 15:48:09
6
swalehekibiriti93
Swalehe Kibiriti :
usiombe ukakosa siti wakati wa kutoka makumbusho kwenda mbagara utagard xanaa mpka unafika
2026-08-10 17:47:15
6
To see more videos from user @laughs_on_leonardo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About