hii nyimbo bhn nilikosa ada nikachelewa advance mwe na bado ilivyo patikan siku naend kupanda gar nikapa ajal ya boda 😭 na nikasafir hivyo hivy alafu ikapigwa kweny gar had wa pemben yangu alizan nimefiwa
2026-08-11 18:09:09
19
Gladys cutey :
best song
2026-08-11 09:11:03
1
mwasimkoko family :
sir god asnteee 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-10 16:28:11
1
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Kali sana mkubwa 🫡
2026-08-12 04:35:31
5
Jessica :
status
2026-08-11 07:07:33
2
ivan_oneseven :
Odongo Unaovimbia Ushafukia Wengi Tulio Wapenda, R.i.p Mama Selenge🥲😭🙏🏾•
2026-08-12 03:26:06
4
SHAYO JR 199 :
nyimbo yangu bora siku zote 🔥🔥hii imenifundisha kuna bodaboda mwenzangu alipata ajali akakatwa kidole alafu alie mgonga na gari mimi nilizuia gari kwa nguvu zote mpk alilipwa kila,kitu lkn @😭😭 kuna siku alifunga pikipiki yangu cheni bila sabababu na ilifungwa siku 5 sijaingiza chochote nikasema sijitoi tena kupitiliza yaani binadamu unamuazima kiatu anakukata mguu😭😭
2026-08-12 07:15:25
1
KisinzagloryMartha :
sasa kama Mungu sio Baba angu ni nani mwaya, YEYE Ndio baba angu
2026-08-12 08:31:51
0
Unique Tee🌸♋️ :
Nilishavunjwa mbawa ili mradi angani nisipepe nibaki chini niwanyenyekee😭😭🙌
2026-08-12 07:17:43
2
BARACK JUMA :
sometimes msome komentizetu nas mtusapot
2026-08-12 05:14:31
1
Anna :
song name plz
2026-08-11 14:57:07
2
bakali og :
ingoma inaitwaje jaman
2026-08-11 19:10:09
2
official kalen 🌹 :
kwer kaka
2026-08-12 04:23:45
1
sefania :
Jmn wow mwanangu humwambii kitu kwenye huu wimbo an time sir God
2026-08-11 20:35:48
2
Lyzer⚓️🎤 :
kabisa🙌
2026-08-11 18:54:57
1
Abiud sambo :
True 🔥🔥
2026-08-11 08:56:26
1
Winnie🦋🦋 :
nakukubal sana band
2026-08-11 16:10:22
1
To see more videos from user @bando_tz, please go to the Tikwm
homepage.