@heiseduma: @saluh_tz Tamba pande zako huku kwangu Usije mm ningekushauri tu endelea Na kufanya cover za wasanii wenzio na kua back vocal stejini acha kunyanyua mashetani Kama unataka kunijua mm Nani tushindane nyimbo Moja mm niingie studio na wewe ingia harafu watu wachague moja tu bela wachi yua Baki mm sio mwema harafu najiamini uniwezi mm hata kidogo sitambi kwa kusapotiwa na kuwekwa kwenye nafasi nasubiri siku ya kuiheshimisha hii Nchi yangu Kimataifa harafu ole wako ujitambetabe Tena nakwambia utaomba msamaha bila kuhamrishwa ‼️‼️‼️

EDUMA
EDUMA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 16:19:47 GMT
144262
13622
368
76

Music

Download

Comments

vinnystax6
vinny67 :
Kibokoo ya kila kituu click master
2026-08-10 20:51:54
94
dejunior_hd
Dejunior_hd :
imba mzee tuko nje ya muda
2026-08-11 05:08:35
56
henry71575
jox tz :
huyu saluh anataka mfanye challenge tuu ya wimbo wake
2026-08-11 09:47:41
25
shabanimbonyebara
man dizzo :
brow saluh mwache kabisa dogo noma yure kka
2026-08-10 16:29:48
30
hilolimusluambano
Hilolimus luambanohilolimus@gm :
kaka mziki hautaki ivo wengi tunaimba ila tunasapot kazi zawenzetu
2026-08-11 18:02:52
9
user5776717906180
ngoukou jr :
Kwan huyu nani
2026-08-12 10:08:21
4
sonofgod723
sun of god723 :
click master
2026-08-11 05:28:59
1
user5195322019033
BabyG❤️❤️ :
mnaompenda click gonga like
2026-08-10 22:34:37
6
brotherjooh
Brother Jooh :
Ukimaliza kuongea utaniita
2026-08-11 07:33:01
7
official_romeo_tz
🧸 𝐑𝐎Ⓜ️𝐄𝐎 ✨️❤️‍🩹 :
@robbyvibe
2026-08-10 23:03:58
3
lovenesscharles245
nyamongo💎_Love💙🥀 :
niludishie ata bundle la jero tu bby niongezee ulipokula bundle langu, me nimesubili utaimba mpk umemalza MB zangu 🤔
2026-08-11 23:08:57
4
anatolia1003
🫧Anatolia Romeo🧚🏽‍♀️🎀 :
Kitu msicho kijua ni kwamba SALUH anawachangamsha mfanye kwa wing na viewers muwe weng kweny wimbo wake😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-11 05:16:14
13
duliwalker1
Duli Walker🦋 :
😅😅 hujuiii weeee
2026-08-11 06:50:32
1
tsuma.da.boy
Tsumah🇰🇪 :
iko wapi hio key
2026-08-11 14:08:42
2
user317800579tz
mesha Jr 360 :
we nimeisikia iyo ngoma mbaya kinoma najuta kuchezea bando langu
2026-08-11 06:57:58
10
novahkhan01
🎧Novah Khan 🎤🎤 :
ila nawewe eduma kwa kujiamulia mambo
2026-08-11 06:20:20
2
oneesmo23
thebest 23 :
ajahongea kwa ubaya ana taka tujitume
2026-08-11 07:38:58
3
mgabe.mazinge
vickram official :
kaka mboma taarabu nyingi imba kaka hapo muda unaishaaaaa😁😁
2026-08-18 08:14:49
1
mcvinthe1
vinthe :
sii kuprojuz ni produce
2026-08-11 05:43:39
1
kido_.icon
k do.🍁.icon.🍁🍁 :
click master mwisho wa yote..🤠🤠🤠🤠🤠🤠
2026-08-12 08:34:28
2
officialrajyjourney
Official Rajy Journey :
Naona simba amekuwa bize kidogo tuh na kulea mtot mmejimilikisha mziki wake sasa
2026-08-11 06:55:26
1
chaochao4797
CHAO TZ :
humjuw click mssta
2026-08-11 16:16:18
1
mopaltzbuckup
Mopal tz buck up :
Click master
2026-08-10 23:15:24
4
lizzynine
Rizzy 9 :
Anaejua huw haongei hiw anaonyesh nd maan saluh kaimba
2026-08-10 22:55:04
4
hamza.saidy28
Hamza Saidy :
d voice
2026-08-11 03:29:23
1
To see more videos from user @heiseduma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About