@islamicswahilinet: SIFA 6 ZA MTU MWENYE MOYO SAFI "Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​ Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia: 📱 M-PESA: 0769 756 490 📱 YAS | MIX: 0715 868 990 📱 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 17:35:51 GMT
220579
36906
426
1900

Music

Download

Comments

user4217526126586
user4217526126586 :
Allah tujalie mwisho mwema ishalla
2026-08-10 19:44:19
54
muna64611
muna64 :
Allah atujalie miongon mwao
2026-08-11 07:29:32
18
chiefsundowns
CHIEF SUNDOWNS :
allah tujalie mwisho mwema
2026-08-16 12:39:08
12
madd66877
MADD :
May Allah SWT guide us in righteousness.
2026-08-15 06:47:20
5
rashidabubakar912
rashidabubakar912 :
Allah atupe khusnul khatima
2026-08-16 18:55:50
5
user4837530220183
user4837530220183 :
Allah atujaalie tuwe mwiongini mwao insha'allah
2026-08-11 19:31:23
12
thumi300
thumi300 :
Allah atujalie mwisho mwema🙏
2026-08-13 06:35:34
12
khailatimbinda
Khailati Mbinda :
Allah atufanyie wepesi nasi tuwe miongn mwao inshaallh
2026-08-14 21:02:45
9
nasraomary639
Nasraomary :
Allah atujaalie mwisho mwema
2026-08-13 14:43:07
11
rahmarahmamsagati
Nino msagati :
Amima
2026-08-15 16:56:22
2
cute_gwal72
shaahm cute 🥰 🥰 🌹 :
Allah umma swale Alaa Muhammad S ❤️A ❤️W ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-13 10:41:51
6
amush6893
amush :
Allah atujalie neem
2026-08-15 13:39:06
2
official_sammy106
😷Official_Sammy :
Ya Allah tujaalie mwisho mwema
2026-08-15 16:30:09
1
habibty4469
UKHTY ZK :
Allah namuomba anijaliye mimi na kizazi changu na ndugu zangu Waislamu tuwe miungoni mwa wao
2026-08-10 19:04:41
12
ahmed.24.kotoma.2
laatahzan :
Allah Akbar
2026-08-16 08:53:34
3
devothaalmasi
devothaalmasi :
Amina
2026-08-15 10:40:56
2
ladiyabora
Ladiya Bora :
Amiin
2026-08-15 08:48:47
2
missazmina1
user4026682789294 :
MASHALAA mwenyezi anijali mm na kisasi changu ktk kishida hayo
2026-08-11 08:55:44
7
chiku4bakar
Chiku bakari :
Allah atujalie mwisho mwema amiiii
2026-08-16 13:06:05
1
moza.john
Moza John :
s.a.w
2026-08-15 06:31:02
1
ramsey14459
ramsey💪 :
Allah tujalie mwishomwema
2026-09-02 14:03:34
1
user4310903108506
Mai mzingwi :
allah atutakase nyoyo zetu
2026-08-15 04:40:13
2
user7678066134345
user7678066134345 :
arahandu rirahhi
2026-08-13 21:09:50
2
naswadi.said
naswadi said :
mungu tujalie mwisho mwema
2026-08-13 20:54:37
2
user37382741629904
Middo 45 real :
Amiin🙏
2026-08-14 07:37:54
3
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About