kuna watoto wengine nivile anazaliwa na upako kutoka tumboni mwa mama yake ni wa Mungu mwenyewe sikiliza mtoto hata matamshi hayako vizur lakin tayari analijua neno vizur kiundani na kulitafsri hakika Mungu ni muwezana anaandaa watu wake mapema,,ubarikiwe sana🤗🥰
2026-08-10 19:38:46
243
Lastborn of God :
ooh MUNGU BABA KATIKA JINA LA YESU KRISTO NAOMBA umlinde malaika wako huyu Bwana wangu Amin 🙏🙏🙏
2026-08-10 22:47:22
106
Lynne 🏵️🦋 :
So adorable God bless you brethren
2026-08-10 22:39:47
30
Gire :
Thank you so much little man
2026-08-11 05:26:06
1
Milly🫰🇰🇪 :
am ashamed of myself
Amen good boy
2026-08-11 09:40:42
3
Nancie tz :
Amen, in Jesus name
2026-08-11 05:16:01
2
idée le padre🇨🇩 :
Amina na pokeya ujumbe uyu katika christo
2026-08-10 22:28:16
45
violetnjeri17 :
Jesus is coming soon 🙏🙏🙏🙏♥️🌹
2026-08-11 07:13:28
7
Dluu sanga :
ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu Mimi sikuoni kama mtoto tyu lakini ni mtumishi Wa Mungu kama mtumishi wa Mungu yeremia alivyosema kwamba Mimi ni mtoto mdogo si wezi kusema na watu Sasa wwe ndio yeremia wa Leo ubarikiwe sana nimelisikia Neno hili oooh Mungu tumpate wapi mtoto kama hyu ambaye Mungu anaishi ndani yke 🥺🥺🥺🙏🙏🙏
2026-08-11 07:40:05
35
lipamtu :
NAKUPENDA WEWE MTOTO JAMANI MUNGU AKULINDE SANAA
2026-08-10 17:50:16
27
mrs wille :
najifunz mengi kupita wew mwanangu mzuri,ubarikiwe mno
2026-08-10 17:48:36
13
mama kevi🇹🇿🇴🇲❤ :
amina amina ubarikiwe mtoto mzuri mwenyezi MUNGU akuzidishie baraka nyingi🙏🙏🙏🥰
2026-08-11 07:34:17
8
heavenly daugther :
nimejikutaa naliaa tuu sijui kwann🥹🥹😭😭🙌
2026-08-11 07:55:46
10
Trizza Museven :
Amen ubarikiwe mtumishi
2026-08-11 04:29:57
1
SERYTON OFFICIALLY :
hongera san mngu awabariki wazazi wako/familia kwa ujumla na pia mngu awawekee wepesi kwenye maisha yenu
2026-08-10 21:27:55
10
Marie yemba :
Ameeeeeeeeeeeen
2026-08-11 04:04:07
1
NEEMA DAMYANNI :
Amen barikiwa sana mwanangu umenifamya niliee😭😭 Asante sana mwanangu kwa ujumbe mzuri Mungu aendelee kuku tunza siku zote 🙏🙏🙌🔥
2026-08-11 09:08:40
26
remedaustin139 :
Amina Amina 🙏🙏
2026-08-10 18:48:06
2
TOTO MABANGA fISTON PDG :
Asante sana kwa ujumbe
2026-08-10 21:50:45
4
Pamela🇴🇲🇹🇿 :
amen baby MUNGU akutunze
2026-08-11 06:06:09
1
Sarah Akimu :
Mungu nikumbuke mim na uzao wangu tukujue wew muweza wa yote
2026-08-11 04:45:02
1
user2436018119141 :
Amina MUNGU ubarikiwe mtoto
2026-08-11 05:48:31
1
Habil Tz :
mtumishi pokea mauwa yako
2026-08-11 04:48:13
1
leah ♍ :
Amen mtot mzuri🥰🥰
2026-08-11 05:30:56
1
To see more videos from user @johnmwasomola2020, please go to the Tikwm
homepage.