@elisha_.deals: Ukipata comment ya kuchekesha nitumie inbox tucheke wote 🤣

Elisha_deals
Elisha_deals
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 17:49:49 GMT
29714
435
38
58

Music

Download

Comments

yasinlambada1517
yasinlambada1517 :
End product ndo itakua sawa
2026-08-11 12:45:18
0
user62783556256300
@mayra_healthytz :
ila twendeni mbele turudi nyuma au bac tu twendeni mbele 😂
2026-08-11 07:04:43
13
dulga022
Misa❤️ :
Bila kusahau pepsi moja sawa n sahani tatu za pilau 😁
2026-08-11 12:00:30
5
prostrow
PROSTRAW :
Mtaalamu wewe popote ulipo tunasubiri majibu ya haraka 🤣
2026-08-11 10:56:01
1
hamisgodo816
Hamiss :
mnatuchangany ss
2026-08-11 14:02:13
0
shamaelah
SHAMAELAH :
mtanifanya nichuje ugali nipate sukari😃
2026-08-11 13:15:50
0
vivihoney_26
vee 🦋 :
mara tusile ugali uliokobolewa, mara dona ni sawa na sukari! eeeh nashindwa kuelewa
2026-08-11 08:04:15
1
edinakyando4
edinakyando4 :
tumechoka sasa haaaa😅
2026-08-11 11:26:04
0
hamisasud1
Hamisa❤️ :
Mbn wazeee wa zmn waliishi miaka mingi kwa Dona m nachanganyikiwa jmn
2026-08-11 09:55:12
0
malick.calic
Malick Calic :
Mi nashindwa kuwaelewa
2026-08-11 06:46:51
0
muslim.kassim1
Muslim abal qassim :
au ndo itakua nusu kilo😎😎
2026-08-11 13:06:42
0
jeusitz110
Jeusi tz :
kunaxiku mtakuja kutuambia mavi ni dawa ya.pua tujipake juu ya mdomo kidogo tu
2026-08-11 10:27:52
1
softtieee
Glorious augustine :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamaa apewe ukemia mkuu
2026-08-11 12:33:43
0
suzzy5973
suzzy kimaro 💦💦 :
kwahiyo ugali nao unasukari inatosha sasa mtupunguzie ushauri
2026-08-11 10:14:24
0
nducha_og
CMD nducha_j :
kwaio nasukari kiasi gani mwilini mana tokea nizaliw nakulaga dona tuu mbaka namiaka25 sasa
2026-08-11 11:59:14
0
siria6041
Last born :
kwani mirembe kumejaa kuna watu wenu huku😂
2026-08-11 05:57:52
1
kellybruyne_
𝙺𝚎𝚕𝚕𝚢𝚋𝚛𝚞𝚢𝚗𝚎 :
@WARDEN
2026-08-10 22:30:35
0
yasinta.nyagea
Yasinta Nyagea :
😂😂
2026-08-10 20:19:44
0
user6811921148867
veronica :
😂😂😂
2026-08-11 05:08:14
0
agnes.haule45
Agy❤️😘 :
🤣🤣🤣
2026-08-10 18:11:25
0
mamy.liyah
mamy liyah :
😅😅
2026-08-10 19:07:32
0
artmix772
𝑨𝒓𝒕𝑴𝒊𝒙🎨 :
😂😂😂
2026-08-10 19:19:36
0
bischana.schana
pacha :
😂😂
2026-08-11 08:01:21
0
fedhasongoro
Fedha Songoro :
🤣🤣
2026-08-11 13:46:54
0
offzddy
Kai 👽 :
😂😂😂
2026-08-11 14:25:04
0
To see more videos from user @elisha_.deals, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About