@adam.clasc:

adam classc🥷🥷
adam classc🥷🥷
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 18:29:31 GMT
586729
26284
2845
3062

Music

Download

Comments

angel51045
Angel😇❤️ :
me nae mtu wa hivi akinutongoza uwa nahisi kama nimemkosea mungu sehem😂
2026-08-12 17:48:34
2405
ritishaziz
Zizo boy Jonjo :
uko vzuri sana kijana wangu,siku ukija Dar nicheki ili nikurudishe kwenu
2026-08-12 19:31:27
1449
tomkakamkubwa
Tom Kaka Mkubwa🇹🇿🇨🇩 :
bila shaka uyu mwana anatokea kigoma
2026-08-15 12:53:01
251
makoroka_gypsum
Makoroka Gypsum :
Uwezi ukaongozana njia moja na mm hata kama ni mwanangu kiasi gani 😂😂
2026-08-11 19:07:23
747
pinersggrey
Mrs.Aggrey❤️💍 :
Ndoto ya wadog zet wa secondary🥹
2026-08-13 08:08:28
721
nzigilwa
Dionise Nzigilwa :
ndoto ya kila mwanamke
2026-08-12 18:26:13
116
d_bwax360
d_bwax360⁰🇹🇿 :
NDOTO YA KILA MDADA
2026-08-14 12:33:43
68
user065690303
Natasha🛍️💃 :
Mungu asante kwa kuniepushia wanaume kama hawa😂😂🙌
2026-08-12 08:55:38
205
calvinrt2
calvinrt.2 :
ila wahaa😂😂
2026-08-12 09:28:19
253
www.tiktokcutieb
Sobby 🌸♏️ :
Usingizi wa mtu😂 ila wanawake tuna huruma 😁
2026-08-12 20:19:41
90
babypinky165
baby Pinky 💞 :
ANACHEKESHA KAMA SIO boyfriend wako
2026-08-15 15:57:59
53
nasri.rajabu
hasry roo :
mwanetu kigoma 1 iyo sio !?
2026-08-17 08:09:46
11
naahmushi
𝑵𝒂𝒍𝒍𝒂𝒏_75 ✨🇹🇿 🇦🇺 :
Super star wa njombe safiii kabisaaa
2026-08-14 04:44:27
11
its..kim01
Naah Kessy🦋♌️ :
Anachekesha Kama sio Kama ako😂😂
2026-08-19 10:34:56
15
moustaphiddy
Moustaph Iddy :
Ila WAHAAAAAAAA😅😅
2026-08-13 13:24:42
5
_adnaan.05
𝒜𝒹𝓃𝒶𝒶𝓃🥷 :
mabling bling au sio😂
2026-08-13 08:50:03
5
anastaziamwirirab
inno G :
anachekesha kama si ndugu yako
2026-08-22 15:28:01
12
richkhan64
Richkid :
ukikua utaacha
2026-08-17 08:00:41
5
user8720877616144keyzboy
user8720877616144 keyzboy🫶 :
anachekesha kama sio ndugu yako walahi
2026-08-12 10:06:29
75
mmbax.codm
mmbax :
kila mwanamke anatamani mshkaji kama wewe mkuu
2026-08-13 15:34:01
21
user830180744712
jastine ibrahim :
naona umewekeza ndani kijana hongela kwa kuto kujielewa
2026-08-12 04:39:13
148
minah9953
Miss Minah💦 :
mmmh 😀 , me nae wa hivi hapana jameni 🤭😅
2026-08-13 15:25:00
7
reydelucky7
Rey de lucky🌹❤️‍🩹 :
tuliokimbilia kusoma comment tujuane 😅
2026-08-15 15:09:36
34
wizzychidy0
wizzychidy0 :
Hii kama sio kigoma basi mbeya mojaaaa😂
2026-08-13 05:01:29
54
To see more videos from user @adam.clasc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About