@mohamedbajaro: Jamani mapenzi wewe😍🥰💕

Dr.Love Mwenyewe
Dr.Love Mwenyewe
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 10 August 2026 18:34:58 GMT
604419
69254
570
6405

Music

Download

Comments

rosekananakashind
rose💖k :
iyo ku ngorota ndo mimi namupa kibao thaaa!maana ana ni uzi😁
2026-08-11 06:33:31
1
user9376868104073
Nurdenhassanisajoho :
Hivi hawa mabinti wapo nchi gani jamani dah nachoka mimi natamani ndio mimi sasa
2026-08-10 20:54:18
59
yudong20
Michael 🇹🇿🇹🇿 :
wote wangekuwa kama ai 🤣🤣 tungekuwa mbali sàn kama kwer weka like ☺️
2026-08-11 14:10:05
118
ab_huncho
𝐀𝐛_𝐇𝐮𝐧𝐜𝐡𝐨🏗 :
mke wangu angechukua simu aanze kukagua😂😂
2026-08-15 10:39:02
26
ibrahokaka222
Ibrahim okaka333🇰🇪 🇱🇨 :
Mm wangu hapo ningepigwa kofi moja 🤣
2026-08-11 11:02:50
29
laty7727
laty :
natafuta comment ya mumewang
2026-08-11 06:14:49
8
minor_tz
TZEEY :
mtaachana tu
2026-08-13 17:43:12
4
abdillah.andulea
Abdillah Andulea :
jamani mbona mimi sipati mwanamke kama huyu lakini mwenyezi mungu nipe na mimi mwanamke wakunijali kama huyu
2026-08-11 00:01:38
17
user261877306554
kigoma Tz :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumekucha amka sasa
2026-08-10 18:44:46
11
mwalimushukuru
mwalimu shukuru :
MUNGU akubariki sana dada kwa kutambuwa ngufu ya mume wako.mupo wa chache duniyani.
2026-08-12 18:04:47
5
user54091789864
user09917.9864 :
ok
2026-08-12 16:50:15
2
tigwimen12
Gadee👟😎 :
Msijisahulishe hiyo ni AI😂😂😂
2026-08-11 06:35:29
17
booo5599
booo :
umkute mwajuma wangu sasa
2026-10-01 12:18:56
1
patrick.andrew.kay
PATRICK ANDREW KAY :
mwaka wa pili nip singl natafta wife kama wewe
2026-09-30 22:58:09
1
mohamedsalim9991
it's maseko :
mm ninae ambaye sio ai
2026-09-14 15:27:21
2
samsonmumbere00
Samson mumbere 00 :
𝐷𝑎𝑎𝑎𝑎𝑎𝑎ℎ! 𝑑𝑗𝑎𝑚𝑎𝑛𝑖 ℎ𝑢𝑦𝑢𝑢𝑢 𝑚𝑘𝑒 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-10 20:41:51
1
noery772
scafess bata boy :
we upendo gn huo tupe siri mbona sisi hatupendwi ivo
2026-08-11 08:53:44
6
iqraa7845
Babe iqraa :
mapenz ya Ai matamu jamani😂😂
2026-08-10 23:13:43
0
suusalim8
👏👏👏 :
akiwepo kama huyu hapa dar mtaniita ngoja niendelee kubeba mizigo boss asije akanifukuza kazi
2026-08-11 10:57:45
5
user56784269943903
NBC PREMIER LEAGUE :
bado tu mpo
2026-08-10 19:23:53
6
ndyamukamazephani
zefania the DON :
napata wapi nguvu za kukoroma wakati simu sijabadilisha password baada ya kulala tutalia kama kuna msiba ndani, mimi nalinda cm zaid ya moyo😂😂😂
2026-08-27 20:48:21
1
ommykambi
ommy kambi :
kila nikimtumia mke wangu hii video habadiliki
2026-08-17 17:39:01
2
catherine7343707344055
Catherine Aloecy :
kabla ajanichiti hii ya mwaka huu nilikuwa kama huyu dada juu yake ila asaivi hata nguvu za kuamka saa 9 usiku nimuombee Sina
2026-10-04 06:23:57
3
mohamedrashidxr7
Montana House Of Beauty :
Wengine ndo washapata nafasi ya kukagua simu
2026-08-26 09:30:21
2
isaabuluma795
isaa buluma :
wupendo wenu wukweli unapendza
2026-08-26 17:09:28
1
To see more videos from user @mohamedbajaro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About