@omig.omig: UJUMBE WA FEITOTO KWA WANASIMBA TUJIANDAE TUKUTANE TAREHE 12 BIG SURPRISE INAKUJA WELCOME SIMBA SPORT CLUB FEITOTO JAY RUTTY BIG UP 🙌🙌🙌. FEISAL NI MNYAMAA SASA NGOMA BADO HAIJAISHA JAY RUTT KATIMIZA AHADI YAKE SIO SIRI TENA JE MKOTAYARI KUMWONA MTOTO WA NYUMBA ZANZIBARI? Weka comment yako 🎟 🚨 **HERE WE GO!** 🦁🔴 Taarifa zinaeleza kuwa **Feisal Salum "Feitoto"** amekamilisha dili la kujiunga na Simba SC kutoka Azam FC. 👀 Je, una maoni gani kuhusu ujio wa Feitoto Simba? Andika maoni yako hapa chini, usisahau kushare na kumtag shabiki mwenzako wa Simba! 🦁❤️ #SimbaSC #Feitoto #SimbaDay #NguvuMoja #Michezo TanzaniaFootball Msimbazi Burudani
@B_boy:Nakumbuka mwaka 2020🥺🥺🥺 niliitwa na bibi yangu kijijini tanga aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"