nimeiulizia adi SHAZAM wakasema ngoma ni kali wameipenda nawao nimeacha wanaitafta.
2026-08-29 11:28:35
4
Minnah baby :
hii ngoma inaitwaj?
2026-08-16 17:08:49
5
Wednesday Elvis🇹🇿 :
mwanetu hajibu au ngoja niache shobo😅
2026-08-21 14:05:58
3
Raisi wa .... :
DA PIPY MAMBOOO
2026-09-06 20:23:36
0
CEFINH :
hatali ila fumanizi noma sana
2026-08-20 09:17:24
0
J BROWN :
kaka nipe collars
2026-09-03 05:59:59
0
Lamia :
🥰🥰 inaitwaje mbona siyion nilitafuta
2026-08-16 12:13:18
1
سالهر🧸 :
Jaman kwani uyu ndo chief godlove😂maana mara yangu ya kwanza umu tiktok 😁😂
2026-08-16 09:01:30
1
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu....
2026-08-22 09:40:55
1
tawa :
king 👑 nakutabua nikiwa Kenya
2026-08-10 18:44:09
1
DEE VZN 🥶 :
mkali🔥🔥🔥
2026-08-10 18:43:14
0
mubah Tz :
jibu comment mzeee
2026-08-25 17:41:26
0
🥀MORENO ABDUL 🥀 :
fuvu🔥🔥🔥
2026-09-13 05:53:25
0
Naina 🇵🇰 🇹🇿 :
Kaka unajua
2026-09-30 06:42:02
0
S E L E M A N I :
nakubali
2026-08-30 17:50:47
0
SEKUNDE _ OFFICIAL🙆♂️🤣 :
🥰
2026-10-09 20:53:17
0
irenelolly :
Apo kwenye mavi; Toxic bhna😂😂😂
2026-08-16 20:58:36
1
Shamsi Matola :
nakubary
2026-08-12 09:10:21
0
✊🏽Lavie🤙🏽d'Antoine🖖🏽 :
10/10
2026-09-25 08:10:18
0
Ayubu Hezron :
Oya brother uwakika
2026-10-17 05:21:06
0
Qute Bee🐝 :
mm ata sijaupata
2026-08-15 17:56:31
0
NEVENI TZ :
nom
2026-08-14 11:16:59
0
Erickson :
leo nimekua wakwanz
2026-08-10 18:43:46
0
To see more videos from user @toxic_fuvu, please go to the Tikwm
homepage.