@abdimohdalkareem: Ewe Allah, mfanye mama yangu awe miongoni mwa wenye kupata radhi Zako Mhifadhi mama yangu, mpe afya na maisha yenye baraka katika utiifu Wako, Ujaalie Qur’ani iwe chemchemi ya moyo wake, nuru ya kifua chake, mwanga wa njia yake na mwongozo katika maisha yake. msamehe na umrehemu, na umlipie kwa kheri kwa yote aliyotufanyia. #dua #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #DuaYaAsubuhi
Abdi_mohd Al kareem
Region: TZ
Monday 10 August 2026 18:44:57 GMT
Music
Download
Comments
@Najma🦋 :
Amini amini Amini
2026-09-27 08:26:21
0
😘😍🥰 :
Allah mjaalie mama angu awe na makaz mema pepo iwe makaz yake
2026-08-11 04:17:06
187
Aisha Chesula :
Ameen Ameen Ameen 🤲 Ameen ameen 🤲 Ameen ya Rabbi.
2026-08-11 03:25:38
47
Mariam Bonge :
Amiiin Amina Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin
2026-09-22 09:40:11
8
How much is money 💸💵💵💰 :
amiin yarabi amiin 🤲 ya Allah ilaze roho ya mamangu kipenzi mahala pema peponi 🤲🤲🤲
2026-08-11 16:19:11
30
Halima Bakar :
allah mjalie mama awe na makaz mema peponi inshallah
2026-08-11 17:57:08
32
Tatu Jumanna :
amin ya allah mpe pepo mama yangu kpnz 🥲🥲
2026-08-11 06:23:28
17
Rau Ally :
Ameen ameeen yaarrab
2026-08-11 17:01:04
7
Raukhan🌹💓 :
ammin
2026-08-11 13:54:04
6
user1879558193443 :
Ameen
2026-08-11 14:16:42
5
Snow❄️ :
Amen , ya rabby mpe mama angu kauli thabit uko alipo😭😭
2026-08-17 18:08:02
6
Safia Saidi Abdallah :
Amin allah mpe maisha marefu mama angu
2026-08-11 08:21:40
11
pretty isha 🥰🥰 :
mjaaliye mwisho mwema mam angu yalabii🙏🙏
2026-08-11 16:44:29
11
Binti :
ya Allah mjalie mamaangu jannA uko aliko umsamee Allahuma Ameen 😭🙏
2026-08-11 15:53:26
6
Mom Su :
Allah ajalie wazazi wote mwisho mwema
2026-08-13 11:03:57
6
official nyangasa :
amin mola waweke mama zetu miaka mingi
2026-08-16 08:46:43
5
mudy chogo :
Ya ALLAH msamehe mamaangu makosa yake ya siri na dhahiri
2026-08-14 04:07:45
7
mamuuh059 :
Amiiin ya rabbi mwenyez mungu akupunguzie adhab za kabri mama angu
2026-08-14 09:26:15
6
Amina Khamis :
mwenyez mung awasameh wazaz wetu awape kaulli thabit
2026-08-11 14:35:05
8
Raudhaty Kaim :
[Sticker] amina ya rabb
2026-08-13 12:12:10
18
hassanoo nguruko :
aamini ya aamini
2026-08-11 07:15:33
18
Rukia Mjaid :
Aaaaaaaaaamn amn
2026-08-11 04:47:05
18
Baby girl ❤️❤️❤️ :
Allah mpe maisha marefu mama yangu
2026-08-11 18:37:22
5
Nahya🥀🎀 :
𝐘𝐚 𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡 𝐦𝐩𝐞 𝐦𝐚𝐢𝐱𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐞𝐟𝐮 𝐦𝐚𝐦𝐚 𝐚𝐧𝐠 𝐲𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐚𝐦𝐚𝐧 𝐧𝐚 𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐩𝐞 𝐦𝐰𝐢𝐱𝐡𝐨 𝐦𝐰𝐞𝐦𝐚.𝐀𝐌𝐈𝐈𝐍
2026-08-14 18:33:18
5
Aysha :
yarrab mjalie mamaangu awe miongonii mwa watakaoingia peponi inshallah
2026-08-11 15:12:02
15
To see more videos from user @abdimohdalkareem, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.