@esko_donald: Wengi walitamani kumuona dada yake Bilionea Mdoe, hatimaye mapema leo hii @esko_donald alifanikiwa kukutana nao na kuzungumza machache. #TheUmbrella
yeye n mkubwa lakini bado kamheshimu mdogo ake na kumuita dada🥰
2026-08-10 19:25:47
106
lucy :
wanapendana jaman na dada ake mungu awatunze
2026-08-10 18:57:44
28
Da huu mudathir♥️😍 :
kuna ostaz mmoja alisema ukiwa na dada umepata kitu cha thamn sana 🙏🙏
2026-08-11 07:28:09
79
Mrs Rich :
usilie baba ndo fungu lako hilo sasa
2026-08-10 19:04:22
44
Zuu0000 :
Ukisikia udugu wangu ndio huu. Hongera sana dada kwa upendo wako kwa ndugu zako. 🙏
2026-08-10 19:46:06
32
ISIMBULA :
nahuyo dada naye asaidiwe japo chochote kama pongez kwa kukaa na ndugu yaje vzr maana dunia ya sasa kupata ndgu kama wa mzee mdoe ni nadra sanayaan
2026-08-10 20:41:23
39
Ally Pazi (Fresh.P) :
upendo wao ktlk familia nyingi kwa sasa haupo km ndg
2026-08-10 21:59:35
11
IQ²☠️ :
wanaume atupendi kukubali shida ata kama tunashida😔😔
2026-08-10 19:00:48
44
UNCLE STORE ²⁵⁵ :
Wanaosema Dada Kafanana Na Mama Daimond 👍
2026-08-10 20:26:44
22
Mtoto wa Bibi..🙂 :
dada dada dada yangu nakuita mara tatu.. si umemuona dada wa Mzee mdoe alivyo lakin.. sawa bhn🥹🚶🚶🚶
2026-08-10 20:34:13
20
T :
Mzee akiongea ananiumiza wallah @
2026-08-10 21:35:53
12
Suleiman salim :
Kwakweli funzo kwenye hili tukio ni kubwa sana .. Mze mdoe amekubali kua riziki inatoka kwa mungu amekua mvumilivyu na kuheshimu familia yake … wakati wa mungu ndio wakati sahihi
2026-08-10 19:44:22
21
Oliver❤️ :
Nyie jamani upendo wa ndugu bado upo 🤭
2026-08-11 04:47:49
12
d7 :
esko
mbona huchangish tena fungu la mzee jmn ,,,,,tunatamn kutenda zaidi kwa huyu mzee
2026-08-10 19:50:14
10
Shaali :
In case u didnt know what a real man is, here a perfect example of one
#BilioneaMdoea that is a real man right there. 😎🤝👊🏼💪🏽
2026-08-10 19:09:54
6
lyn10Des :
Nampenda sana uyu baba sana Mungu aendele kukutunzaa baba angu nakupenda sana ❤️😫😫😭😓😔
2026-08-10 19:07:40
16
Faymar👣🎊 :
Tunakosa hat ya Kusema Juu Yako Esko....Ubarikiwe sana kaka
2026-08-10 18:55:00
31
Ach Chirangi :
umetisha sana Esko uyo dada ni mtu safi sana,inaonekana katenda mema mengi kwa mzee mdoe ndomana hakuacha kumtaja kila kwenye maongezi yake
2026-08-10 19:08:59
8
Rani singh :
kuwa na kaka mwema ni raha sana🥰
2026-08-10 20:39:14
8
VJ chuxe :
big up kwa dada mdoe!!!👍
2026-08-11 10:27:43
2
namluu :
wanapendana jmn😭🥺
2026-08-11 09:07:01
2
Thepioneerwoman🌹 :
Hii familia inaupendo Sana na wanahekima kubwa, wanastahili kusaidiwa
2026-08-11 11:46:25
2
Ckudhan Ngele :
Kumpata dada au kaka km hii ñi.nadra sanaa Mungu atujalie sote tupendane km hawa AMIÑII
2026-08-11 08:20:15
4
🦒 wa mzee omary💫💫✨️ :
huy dada moyo wake wa dhahabu
2026-08-11 09:30:43
1
Black Panther ✝️ :
nna dada yangu huyo anaroho ya mama wa kambo sidhan kma atabadilika😂
2026-08-14 16:48:29
0
To see more videos from user @esko_donald, please go to the Tikwm
homepage.