howo bure kabisa 10speed gearbox, double clutch alafu zachokesha hizo gari hazitembei
2026-08-11 06:09:16
7
Tsunami Digital :
kusoma driving Tanzania ni ngumu sana na kiswahili mara kupokea, rotation husika😂
2026-08-13 19:55:06
25
DENO THE TRAVELAR🇹🇿 :
sasa ukipunguza mwendo ndo uweke gear si ata iyo gia itakayoingia itakuwa haina maana?
2026-09-23 15:26:07
2
one6 :
scania inaingia na gia yoyote na roteshan yeyotee🤣🤣🤣
2026-08-26 22:07:28
5
@MTUKONATZ :
oya mm ninakila kitu nina lesen nina cheti nina pasipoti kubwa ila gari bado sijaiva vizur vip nifanyaje hapo kaka nisadie kaka kama inawezekana nisadie
2026-09-15 11:14:56
0
disimaskileo :
iyo iende vyuo vya udereva
2026-08-15 18:50:14
1
d'son smart :
absolute🔥
2026-09-23 08:36:02
1
limwexa kidd :
perfect sana uncle🙏🙏
2026-08-11 04:27:41
8
Brown Vardy Kidd :
Kweli Kabisa 😀 Nimeendesha Howo Nikajifunza inavotaka na nikaishi nayo Vzr Mno
2026-08-10 22:55:35
10
g_u_s_t_a_v_o_4 :
sio gari tu ata pikipiki zake pia Dr.Howo 🔥
2026-08-13 15:43:15
2
Issa nduli :
huwezi kill ngia uponguze mwendo haiwezekani ata uwe spindi stini gia namba Saba inaingia kikubwa eklileta yako ifike 17 au 16 gia inaingia bila Shaka kaka
2026-08-27 12:48:58
2
J, Boy🥺 :
sahii kaka👊👊
2026-08-12 20:51:00
0
SUPER SUB :
izi Gali za kichina ndio siziwezi kabisa sijawai kuzielewa
2026-09-08 23:17:57
4
Edy Chuwi :
Jamaa namkubali anajua howo vzur sana huyu jamaa mauwa yake apewe
2026-09-07 16:18:45
2
Mirlsam_style :
dr nna zawadi yako
2026-09-09 07:15:13
1
CHARO MASTR A20 :
kaka ukovizuri mzeewangu dah
tupate watukama ww ili tuepushe
vyanzo vya ajal
2026-09-09 17:16:44
1
MATHAYO SAMBO :
uko sawa afand ila me nahs labda kupiga reccc na kupunguza mwendo na ukishaweza kuona rotation za gear ni moja ya dalili ya kuw dereva bora