@shabani_rapwi: "Shida ya Simba ninayoiona, Simba ina wajuaji wengi sana. Watu wa Simba kinachowaponza na Yanga inatumia mwanya huo, wanaamini wao wanajua mpira, wanajua mipango ya mpira, wanajua maendeleo ya mpira kuliko mtu yeyote nchi hii." Haji Manara. 🎥 Wasafi FM #SRSportsUPDATES #trendingreel #trendingpost #trendingnow #tranding #reels #trend #trending #trendingreels
Nikweli yanaga wana vitendo simba ujuaji na uswahili mwingi
2026-08-11 09:19:25
6
WILSON JOSEPH :
SIMBA INACHEKESHA KAMA SIO TIMU YAKO 🤣🤣🤣
2026-08-11 11:59:03
2
froween :
yanga adi mashabiki sisi kama viraza kwa mashabiki wa simba. lakini tunajua sana mpira kuliko uongeaji wao.
2026-08-11 09:09:51
3
paschal edson :
Kama unaona mbari utangudua nikwann manara alitoka simba na manara anaipenda sana simba ira bas2 aliamua kuufarij moyo wake lakin manara anaipenda sana simba
2026-08-11 10:31:50
3
Atanasi Johni :
Ni kweli ata mashabiki wao ndo hivyo hivyo
2026-08-11 11:17:27
0
Mikumbo.....S :
Ni sahihi kabisa
2026-08-11 03:46:50
5
Yasser Mo :
manara simba inamuumiza sana basi tu
2026-08-11 09:23:58
1
mustapha_ujuku :
kweli baba
2026-08-11 07:56:54
3
G :
Manara rudi Simba ukawaokoe, unajua kinachowakwamisha, Hata si Yanga tunapenda changamoto tunataka Simba arud kwenye ubora wake tumkande hvyo hivyo
2026-08-11 08:19:39
3
urocke23 :
Na kwel wanajua Hela ndio kinachowafelisha yanga hawajui Ila wana Hela
2026-08-11 10:51:00
0
sabra mussa97 :
kabisaaaaa manara hujakisea kipenz
2026-08-11 12:37:13
0
Bondu :
yaan wanajiona ni wajuaji mpaka mashabiki wao
2026-08-11 10:55:34
0
Richard Wilson :
brother upo vizuri
2026-08-11 13:31:38
0
jastin sapola :
jaman
2026-08-11 13:07:47
0
Bucheyeki LJ$ :
kwel kabisa 🤣
2026-08-11 08:21:16
0
urocke23 :
Na kwel wanajua
2026-08-11 10:50:31
0
Glo Queen 👑 :
[Sticker] 🥰🥰
2026-08-11 08:51:24
0
peter937660576388 :
uhakika
2026-08-11 09:09:44
0
Kuluthumu Shear :
Leo wanamkubali manara 😂😂
2026-08-11 10:19:00
0
Sadi Ngolwe :
nakubar arghaji manara
2026-08-11 09:00:26
0
lemamolelilemamoln :
nakweli
2026-08-11 10:08:31
0
Denilson9 :
kabisa
2026-08-11 01:50:00
2
To see more videos from user @shabani_rapwi, please go to the Tikwm
homepage.