@kawanga18m: YAANI KAINGIA CHOONI NIMEMSUBIRI KWA NJE MPAKA GARI INATAKA KUONDOKA HATAKI KUTOKA NJE NAMUULIZA APA KWANN ANAFANYA IVYO ANASEMA ETI SJUI HAJA ILIKUA HAITOKI KAMA HAITOKI SI AVAE TUONDOKE BWANA, JAMAN NIMECHOKA NITAMUACHA😭🙌🙌 LKN AHSANTE SANA WAHUDUMU NA VIONGOZI @god_first_luxury_official YAANI JAMAN MUNAROHO MZURI MUNANIVUMILIA KWA HALI ZOTE ZINAZO TOKEA NA MUNANIPA MOYO NYIE NI WATU WAZURI SANA MUNGU AWALIPE🙏
samahani kaka Kawanga. mm maoni yang nikwamba , watu wenye uhitaji hawawi hivyo Kuna watu wengi sana wanashida na wanaonekana tu kwa mtazamo. so please usipoteze muda kwa mtu asiye jitambua hiyo pesa uliyo tumia huko Yani ingefanya pakubwa sana , hata kwa wagonywa au walemavu. pole sana. ila kwa Sasa naomba chunguza kwanza mtu ndo ujilidhishe kutoa msaada.
2026-08-11 16:36:28
85
@"IT'S_BREEZY_69"💫💫🇿🇦🇿🇦 :
asa mbn camera man kuachwa na gari
2026-08-24 14:32:17
14
dee du master :
uyo wa soba Sio kwao
2026-08-11 04:56:00
63
💕Ukhty Zay 💕 :
Sasa unafika nae mwanza na kumbe ni wa mbeya😂😂😂aahh kaz kwelikweli
2026-08-11 06:13:42
66
Fehedi Zahoro :
kwani hapo ilikuwa wapi?
2026-08-11 01:39:06
12
Da zamda💫💥💦 :
Yanu nimepandwa na hasira km mm ndo nipo nae dah😳😳
2026-08-11 04:09:48
46
chichy cute🦋🧷 :
me nilisema atamsumbua
2026-08-11 11:18:01
10
1291.. :
kwani nikweli au wanaigiza tu maan sielew
2026-08-12 10:51:54
5
niferprettysaloun / JJ :
yan uyu atatudi tu dar
2026-08-11 13:58:54
5
🫀golden girl ❤️ :
Hii Gali militoka nayo mwanza dah inatembea polepole sana wanasema wif bure hamna kitu bhana
2026-08-11 06:48:09
6
agy 🌹 cute :
😂😂😂😂 dogo anatia hasira uyuuuu
2026-08-11 14:19:47
13
Mrs smile 😃 :
😂😂😂😂😂😂 nacheka kama mazuri uyo dogo jau sana
2026-08-10 21:32:54
13
who is agustino🤔 :
Unakili nani anapenda kurudi mikoani😂
2026-08-11 19:22:22
5
👑Zahra Zahra💞🌹 :
sa km alikuw hatk kwend kwann alikubal
2026-08-11 03:21:41
10
Sabri Art GalaryTz :
Daahhh Sio swala la kucheka cha kwanza ..bro unajitoa sanaa💯💯
2026-08-11 08:08:31
5
mulima gemina :
Daaa pole sana mpaka mnafika Mwanza utakua umechoka sana wakati yeye ndo aliomba kwenda nyumbani
2026-08-10 21:54:19
8
Sada Mashaka :
pole sana bro ivi kwahali iyo atakufikisha kweli kwao dah kumbe ata angepewa pesa aende peke ake asingeenda kabisa Tunashukur unatujuza kwa matukio yote Allah awafikishe salama vipenzi
2026-08-11 02:25:06
5
upendo classic disginer :
Aiseee pole sana
2026-08-11 21:27:09
0
Hg Official 🇹🇿 :
njo uku😂
2026-08-12 05:59:51
0
irenemachalo :
dah unapata tabu sada mungu akusaidie
2026-08-31 20:52:55
2
true mastone :
pole broo
2026-08-11 06:49:23
1
Toto la Mjane :
Hataki kwenda kwao😳😳
2026-08-11 06:46:10
1
binti_safi :
huyu ataki kwenda kwao
2026-08-13 15:10:39
0
@Chagga girl...🫅🥰🇹🇿 :
😂😂😂😂duh mtihani pole kaka si alisema anataka kurudi kwao
2026-08-11 09:46:11
2
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm
homepage.