@omig.omig: FEITOTO YUPO ZAKE ZANZIBAR JAPO AJAJIUNGA NA KIKOSI CHA SIMBA MOJA KWA MOJA ILA MUDA WOWOTE ANAWEZA AKAJIUNGA NA WENZIE BAADA YA KUTAMBULISHWA tutegemee lolote TAREHE 12 SIMBA BINGWA FEISAL NI MNYAMA UJUMBE WA FEITOTO KWA WANASIMBA TUJIANDAE TUKUTANE TAREHE 12 BIG SURPRISE INAKUJA WELCOME SIMBA SPORT CLUB FEITOTO JAY RUTTY BIG UP 🙌🙌🙌. FEISAL NI MNYAMAA SASA NGOMA BADO HAIJAISHA JAY RUTT KATIMIZA AHADI YAKE SIO SIRI TENA JE MKOTAYARI KUMWONA MTOTO WA NYUMBA ZANZIBARI? Weka comment yako 🎟 🚨 **HERE WE GO!** 🦁🔴 Taarifa zinaeleza kuwa **Feisal Salum "Feitoto"** amekamilisha dili la kujiunga na Simba SC kutoka Azam FC. 👀 Je, una maoni gani kuhusu ujio wa Feitoto Simba? Andika maoni yako hapa chini, usisahau kushare na kumtag shabiki mwenzako wa Simba! 🦁❤️ #SimbaSC #Feitoto #SimbaDay #NguvuMoja #Michezo TanzaniaFootball Msimbazi Burudani yangasc simbasc simbanguvumoja yangaday

Omig Omig
Omig Omig
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 22:15:11 GMT
305985
20859
372
296

Music

Download

Comments

firstbornpouline
firstborn 💖 :
yaan mm simuamn hamed ally
2026-08-11 12:17:28
0
user3403063196132
zuu mbua :
yani viongz wasimb wanatuon ss mashabiki kam watt walh
2026-08-11 11:46:42
0
egongabriel455
zacharia Gabriel :
Jaman mna taarifa selema mwalimu kaenda yanga
2026-08-11 05:36:22
139
zaida.isimbul
MEDDY EVARISTE :
feisal akienda simba niko pale mje mnibake
2026-08-11 08:50:39
61
user817686119073
Joshua mathias :
mpaka tuone
2026-08-11 18:08:24
0
omary.mkawasi
Omary Mkawasi :
respect san SIMBA
2026-08-11 09:10:35
0
hermanimndeme
Hermani Mndeme :
simba ubaya ubwela
2026-08-11 16:26:22
0
mweru1
Mweru Empire :
Simba wananiuziiii 😏😏😏😏😏
2026-08-11 08:00:43
0
marcopolmichael
marcopor Michael :
SIKUTE TIMU YA SIMBA NI CHANELI YA VICHEKESHO KATIKA KING'AMUZI CHA AZAM TV ALAFU ATUJUI 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-11 08:49:17
32
enock.george.lugat
Enock george lugata :
jamani nikweri fei ni mnyama?
2026-08-11 07:13:15
18
moses.sukari
dj wozux :
kuanzia reo mm siyo Simba tena Simba tusijuane
2026-08-11 14:13:34
17
tromicmichael
Tromic Michael😎 :
NAJUA HAIWAHUSUU SELEMANI MWALIMU NI MWANANCHIIIIIIIIIIII
2026-08-11 08:10:10
13
efransia6
sia cute :
mnatutishia mtoto tulie mlea sisi
2026-08-11 13:00:59
8
meccy.christian
SWEET LEE🦋💦 :
Sisi tuna Gomez seleman
2026-08-11 05:12:01
20
shubilakawamala55
dommie💜 :
Sisi kama yanga hatujawai kumuogopa feisal hata kidogo
2026-08-11 12:12:20
7
rosetenga579
Rose :
Mashabiki wa Simba mnatuvunja moyo Selemani Mwalimu kumuacha kwenda Yanga 😭😭😭
2026-08-11 09:07:28
2
isayamasunga540
Msukuma Og🤣🤣 :
apo ilikuwa mechi ya Simba vs Azama
2026-08-11 04:26:05
7
williamjohn3983
williamjohn3983 :
simba kama munafanya biashala fanyeni lakini jueni kuna loho za watu zinaumia
2026-08-11 08:55:06
6
brightonjumanne
Alonebreezy :
yanga bingwa
2026-08-11 05:52:48
0
adammwalyaje2
adammwalyaje2 :
Sisi helazetu zipo benki
2026-08-11 09:50:09
1
jckie44
Miss jackie :
unafikiri akija ndo mtabeba ubingwa kama alishindwa kuipa timu yake ubingwa ndo mtegemee atawapa ubingwa
2026-08-11 06:57:33
2
carldhozo
OSCA KAPAJA :
haaaa hili semaji limeteka kulikbali mi kama mm mwananchii
2026-08-11 11:09:27
1
naida.william7
Naida William :
Taarifa iliyonifurahisha ni ya seleman mwalim kuwa mwanajangawani😂😂😂🥰🥰
2026-08-11 08:43:52
4
iamaika74
@Iamaika :
Kesho hamtaamini Feisal ni mwananchiiiiii, msishangae mkiamka asubuhi mkakuta hata MO Mwenye pesa zake benki katambulishwa yanga
2026-08-11 10:41:08
3
happy.aginsi283
Happy Aginsi283 :
siyo wew ty tupo wengi sana wabaki na simba yao
2026-08-11 16:38:06
0
To see more videos from user @omig.omig, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About