@mafolebaraka: Kuna kazi ya transcription inatarajiwa kuanza hivi karibuni na usiseme sikuwaambia. Kwenye website ya majamaa wana vikazi vikazi vingi ila hii ya english ndio nimeiona chapchap. Unaweza jisajili hapa kujiandikisha https://careers.andovar.com/job-openings/ Project zao nyingi bado hazijaanza so unachotakiwa kufanya ni kuanza kujisajili kisha unatulia project ikufikie