@dicksonmpilipili: 📌Yanga ubingwa wao hawaupati kwa bahati nasibu wanaupata kwa mikakati jamaa hawajali kuhusu hela wanachojali ni kuona wanapata mataji na kumdhoofisha mpinzani wao Simba,Stori za hela zipo bank Yanga hawana wanatumia tuu #simba #yanga #fy #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzania

Dickson Mpilipili
Dickson Mpilipili
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 03:35:15 GMT
26080
445
11
17

Music

Download

Comments

divdora1
DivdorA💧 :
Alicho kifanya sele ni kuwa Adui wa mashambiki wa simba hawezi kutoka kambini kwenda kusaini kwengine anatamaa mbele mauti nyuma mwiko tuko hapa Tutakuona sasa kama utamweka Shalulile na Toure benchi
2026-08-11 05:30:48
2
tifakhali
user87349004065181 :
aaaaaaah🤣😂😂sele umemuangusha semaji
2026-08-11 05:53:58
0
monicamahengemkinga
only girl for real :
hakuna kitu kama icho yanga wanefungiw usajili huyo sele wamemxajili wap
2026-08-11 07:23:51
0
christianrichard78
Crazy boy👀 :
shid boss wao anawek hela benki
2026-08-11 05:20:52
1
neemaemanuel80
Neema Emanwel :
kwa hili hata atambulishwe FEI haito shitua mtu maana GSM hajamtaka ukwel 😅😅😅
2026-08-11 13:23:49
0
user2660088524530
catherine :
yanga unaenda kuuwa kipaji chako kaka tupo hapa tutaona
2026-08-11 15:32:57
1
mr77531
Mr Thinker :
hizi ni project za kuvuruga watu kuelekea game ya kesho
2026-08-11 04:50:11
0
grolyaron525
💕💕toto la kiha🎀❣️🌹🍎 :
acha tamaaa weee
2026-08-11 19:41:33
0
call.me.faraja
call me faraja :
humutu
2026-08-11 11:26:16
0
ikutunangisyarich
ikutunangisya :
Muamini sele na semaji for your own risk🙌
2026-08-11 05:07:53
1
To see more videos from user @dicksonmpilipili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About