Me mwanaume akiomba no yangu Nampa ya mpenz wàñgu au nakosea😁
2026-08-11 06:18:33
96
Almal_saig16 :
appreciate San Broo
2026-08-12 22:54:33
2
cute B :
lazima ni muambie mwanaume wangu ajione mwamba
msituchoshe😁
2026-08-12 10:17:34
95
Aisherfaraj :
mm natongozwa sana na Wala sijawai mwambia mpenzi wangu mbaka ananiuliza hv husumbuliwi ww
2026-08-11 20:43:44
19
nameless💞 :
weeee namwambia sasa kumkumbusha asiwe na dharau😂😂😂😂
2026-08-12 09:27:57
40
Ray-beauty🥰 :
Sasa Kama umemvumilia kweli
2026-08-29 08:01:22
3
FATUMA OUTFIT 🛍️ :
hii asije akaiyo mwanume wangu 😂😂 naachwa
2026-08-16 23:23:39
4
Mariam Jeremiah :
me namwambia na bd namchit na hajui yaani nnao mwambia ni wengne nnaochit nao ni wengine nnaowapaga namba za bwana angu ni mwingne inategemea na muonekano tuu waiiiii😁😁
2026-08-17 23:48:33
3
Queen 🥰🦋 kazury💓🦋 :
Kwaio kama nimemvumilia kweli nisiseme
2026-09-02 02:02:18
1
🅽🅶🅴🆃🆈🅼🅰🅽 💎 :
huyu wangu anasema play party yako hawa nao wana yao 😳
2026-08-11 21:43:31
8
Mwendo Kasi🙇💪 :
sema nakubali Sana mkuu
2026-08-16 14:16:15
3
vin jr :
kweli kaka mm mwenyew shaihid yamenikuta
2026-08-24 20:29:58
4
is beckham :
umenishitua leo ni meambiwa ivyo
2026-08-15 19:54:39
4
ctv.bm tz :
rose muundo!!
2026-08-25 06:41:28
2
💥🫵🙌 :
appreciate San Broo big up
2026-08-13 07:30:58
0
RIZIONE :
broo kweli ndio uwalisia wetu huo
2026-08-11 07:54:57
12
Festo James :
True 💯💯 nimeshakutana na icho alaf kwa Single Maza Daaaahh kilichotokea 😢😢 Hata Shetan alikuwa ananionea huruma
2026-08-11 20:20:24
10
Santana TG😈 :
Zima moyo washa akili 😎
2026-08-12 16:43:14
4
Luffy Munga :
Zima moyo washa akili 😎
2026-09-05 22:48:48
0
🐹𝐻𝑖𝑚_𝐷𝑎𝑟𝑘𝑠𝑐🌸𝑟𝑡 🐹 :
Ni ukwel kabsa Mwanangu tuishii humo😏😅😅
2026-08-20 10:55:36
1
miss.fihy1 :
Kwahy tusemeje sasa😂😂😂
2026-08-26 12:25:17
1
SilentNova :
huyo mwanaume xx yy ndio ananambia hvyo
2026-08-13 14:55:33
1
Iddy Ally :
Hii ilinikuta jamani
2026-08-27 07:35:56
1
To see more videos from user @king_m0tivation, please go to the Tikwm
homepage.