Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@ganslay_tz: SEMA CHOCHOTE😂😂😂😂
ganslay_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 04:57:48 GMT
828826
83110
2708
2244
Music
Download
No Watermark .mp4 (
7.19MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
7.19MB
)
Watermark .mp4 (
19.92MB
)
Music .mp3
Comments
cherry :
😂😂ila we kaka unafanya tuone wanaume wetu hawajui kutupa ela 😂
2026-08-11 05:45:57
685
Hildashamsa :
kwa nini lakini😂😂😂 mnapost vitu ambavyo havipo Duniani🤣🤣 na havijawahi kuwa na haitatokeaaa khaaa😂😂😂
2026-08-12 05:11:50
247
Ezequiel marc :
TikTok is better than everthing 🤣🤣
2026-08-18 07:19:08
0
Michael don :
mke wangu anakuangalia hapa kwenye cm kisha ananitazama mimi simuelewi ana maana gani
2026-08-11 14:51:34
228
Kabeauty46 :
si wanaume wote wangekuwa kama huyu😂😂😂😂
2026-08-11 12:15:58
213
SAM WIZZY :
nasoma comments jamani
2026-08-18 06:02:25
0
@maua.Juma :
jaman ebu acheni kutuchanganya watu tumesha changanikiwa na maisha😂😂
2026-08-11 14:05:03
170
pascaline ngwambe@ :
je suis la seule qui parles français ici?
2026-08-12 09:50:13
30
Lucy Otando :
hii spirit initafute😁
2026-08-19 08:59:16
0
shie shie🦋 :
mume wangu kaangalia pembeni anaona aibu😆
2026-08-11 08:29:46
107
kiowi m o :
oya mwanetu unafanya mademu wetu wanatutumia video zako
2026-08-17 10:09:50
11
GLOW WITH MUUH :
Ila billionaire G
2026-08-11 16:08:38
2
kidrocker :
hi content inawapoteza haina uhalisia
2026-08-11 13:36:00
25
Missmoss_08 :
Elon musk wa Bongo😂😂😂😂😂
2026-08-11 12:53:12
5
officially Nenny 🥰😘❣️ :
Asante kwa kufanya nimtukane boyfriend wangu leo 🤣🤣🤣🤣
2026-08-11 13:38:29
55
SAFA🎀🛍️ 🩷 :
Wigi la elfu 25 alafu billionea nashindwa kuelewa 😂😂🙌
2026-08-14 14:23:50
8
Isaka kasongya :
Mungu nisaidiye muke wangu asije ku anguka kwa iyi vidéo 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 😂
2026-08-13 11:05:02
10
mamuu ❤️🥰🙏 :
10/10
2026-08-11 19:02:06
6
queenwhite254 :
Mnapenda kujiamulia mambo
2026-08-14 17:19:51
5
ms.neeh :
umeambiwa tuletee majirani izo hela jirani ndo mimi😁😁😁😂😂😂😂😂
2026-08-11 19:35:28
7
rahabu🔥🔥 :
huyu tukimchekea atakuw tajiri kweli🤣🤣
2026-08-12 07:22:19
14
Cute Lizzy :
tukikuchekea utakuwa tajiri kweli ,ok any way content nzuri ,
2026-08-11 13:10:01
6
DIR_LEKENNY :
😂😂Huyu jamaa amekuja kutisha sana bongo😂😂😂 MUNGU AKUBARIKI
2026-08-11 08:19:28
37
MOM DAANIA 🇹🇿🇴🇲✈️🥰🥰 :
BILIONEA G NISAIDIE Elfu kumi
2026-08-11 07:42:47
76
@dahala$ :
Ndoto ya kila mdada 😂
2026-08-11 15:18:12
14
To see more videos from user @ganslay_tz, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
PERO QUIEN PEDIO MAS...
#مشاهير_تيك_توك #بدوي_في_مصر #الشعب_اليمني_ماله_حل😂😂 #برط_العنان_الجوف
#arsiitiyyaa ##oromotiktok #ethiopian_tik_tok
haard no prime #haard #prime #fyp #viralvideo #aurafarming
@moechtegernmieze BANGER
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy