TIA Haiwezi kuwa ngumu kila kitu kipo ulinzi imara buridani kwa wote alaf wapo taifa ila sasa ila sasa ndio chuo ambacho wanafunzi wanaongoza ku discontinue kuliko chuo chochote dar
2026-08-11 15:54:41
28
___r.e.y.__ :
Ila watu bila kuiongelea TIA amani hampatiii😅
2026-08-11 20:00:43
11
jessie🦋✨️ :
aya na wana DIT niongee kwa kusimama au kwa kukaa😁
2026-08-11 19:01:22
8
Sombe Charles :
Hakuna chuo rahisi , kikubwa usome umalize mengine utayajua mtaani
2026-08-12 04:35:58
2
popnana :
waje Ardhi hao wataacha ndala nje😂😂😂
2026-08-11 14:08:37
13
Gimmy moses2 :
njoon mjionee IFM 😅😳
2026-08-11 16:10:27
6
its.Agcet.22 :
Kwann?
2026-08-11 14:54:39
0
Maya❤️ :
Chuo chenyewe kipo mbagala imagine😅😅😅😅😅😅
2026-08-11 22:08:09
1
Mr see you :
bwashe Leo Unaenda wapi😁😁😁
2026-08-11 05:50:09
6
𝕊𝕙𝕒𝕕𝕕𝕚𝕖 👣✌️💎 :
wanakujua NIT lakini 😂😂😂😂
2026-08-11 15:17:36
1
🤍 𝓗𝓾𝓼𝓶𝓪𝓱 🌸 :
nataman kuongezea jingine ila kuitwa na basata sio mchezo 😂😂
2026-08-11 15:59:14
1
CHOBA jr💪 :
shida course gani 😊
2026-08-11 14:19:01
1
fake is every where :
😂ko unatak kusemaj sisi tunaosoma CBE
2026-08-11 06:24:52
2
H🌸🐦🔥 :
😂😂
2026-08-11 20:37:44
0
Ms_Precious19 :
Na ndo chuo kinachoongoza kwa kudisco
2026-08-11 20:34:11
1
thereasheylolla :
mm wa DMI ngj t ninyamaze 😁
2026-08-11 21:22:07
0
To see more videos from user @peterson_069, please go to the Tikwm
homepage.