kumbe tuko wengi siku hizi utalipia mbaka convesation
2026-08-11 15:06:36
45
manocki💥 :
😂😂😂😂 ulijuaje
2026-08-11 07:26:50
36
𝘼𝙧𝙢𝙤𝙨 :
Tabia yangu hiyo 😂😂😂
2026-08-11 08:17:43
14
Divinas :
kuchukua namba pekee ni hobby,si lazima kufuatilia😁😁😁
2026-08-12 07:11:43
10
❣️Sam❣️ :
Hii tabia sijui nitaacha lini😁😁
2026-08-11 17:34:59
5
MeLaryy :
bro mimi naongea na msichana ata 30 minutes, alaf baada ya hapo naleft bila kuitisha number. I can compliment you na kuleft , mi siezi chukua number ya mtu ataniomba mia jioni ati ako na emergency
2026-08-11 14:04:26
5
çhesilim❣️ :
Mimi huwa ntachukua tu number Ndio nifeel poa😅😂 alafu siwezi cal Sina hio time
2026-08-11 09:01:22
21
alpho :
i have more than 20 contacts and i never call
2026-08-12 04:27:05
6
Dun M :
mh nayo siwezi Anza conversation,,, I always wait for her to start ndio nijue kama ako serious 😂😂
2026-08-11 18:14:01
15
Kt_Dan :
shida ni ukianza kuwaongeleshatu they just pop up with bills what do u think is next .......
2026-08-11 13:36:13
20
user0987654321 :
unajua miaka zinasonga na nko busy adi time ya mapenzi sina but hua natongoza kuona kama bado mistaki iko sawa 😂😂 na nkiona tu ameingia box narudi store tena atleast kumbe bado mi ni wembe🤣🤣🤣.
2026-08-11 17:48:32
7
To see more videos from user @wuodkanoh1, please go to the Tikwm
homepage.