@bingwa_wa_michezo: #creatorsearchinsights #4000klikes_1m_views 🔴 LAMINE CAMARA — X FACTOR WA SIMBA? Lamine Camara ni kiungo mkabaji (No.6) wa Al Ahli Tripoli, mwenye uwezo mkubwa wa kushinda mipira, kulinda safu ya ulinzi na kuunganisha kiungo na safu ya mbele. Ana nguvu, urefu, intensity na uwezo wa kucheza katika eneo lenye presha. Aina hii ya kiungo ndiyo Simba wanayoihitaji ili kuongeza balance na nguvu katikati ya uwanja. Kama tetesi za Simba kumhitaji zitathibitishwa, Camara anaweza kuwa X Factor ya Msimbaz