@pastor_nick_ipm26:

pastor_nick_ipm26
pastor_nick_ipm26
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 07:26:19 GMT
105981
5719
389
269

Music

Download

Comments

mushauri.wa.rais
mushauri wa rais :
hakuna mchungaji hapa tunapigwa tu😂😂
2026-08-11 17:36:21
102
viviansatman
♌millein trends :
pastor vitu vyangu kabisa🥰
2026-08-11 14:52:03
32
ir2222222222boy
Mathewnicolaus :
ndomana saivi mm nasali kwenye gari
2026-08-11 21:03:51
25
therealpriscah
the real priscah :
sio kweli huyu jamaa hapana kwakwel hakuna kanisa hapa kila sehem kuna utaratibu na sheria hat choon kuna kopo linalotumika huko huwez kwenda na kopo lolote tu mm ni mkristo nmeokoka navaa sulual ila sio kanisan
2026-08-11 19:34:31
45
kefasoniseth
kefasoni Seth :
unaweza kuta anatembea nae
2026-08-11 19:17:25
13
mr.rhino78
MR RHINO 🦏🦏🦏 :
manabii wa uongo ni wengi sana tuwe makini
2026-08-11 14:40:09
28
user8243865614151
rey qeen💞💞💞 :
Mchungaj unapatikana wap nkuletee amani yang katikat yamapaja🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-12 08:45:30
7
gizengoizengo
G izengo artist🙏🇹🇿 :
mh ivi kuna mtu anasikia hasila kama mimi?
2026-08-12 18:26:24
19
fainess05chisunga
Dada muuza ges namchele :
Dah sijuwi ndio nyakati zamwisho nashindwa kuelewa
2026-08-12 08:33:56
10
enitherabely1234
♍mg :
KKKT,Moravian,sabato na wale waroma wenzangu hii kitu haituhusu tutapewa vitenge mlangon nafikiri mama zetu mlangon ifike mahali tujitambue
2026-08-11 18:05:24
25
universalyrics720
UNIVERSAL LYRICS :
hli sio kanisa la ipm kweli?
2026-08-11 16:47:13
18
nunu33603
WOG. NURU🦋🩵 :
“ KILA ATAKAE NIFUATA AJIKANE MWENYEWE SIKU ZOTE KUJIKANA NI KUKATAA KUFATA NAMNA YA DUNIA NA MAMBO YAKE LAKINI KWA GENERATION HII YETU YA SASA INJILI INAGOSHIWA SANA WATU WANAHOFIA KUWAAMBIA WATU UKWELI KWASABABU TU NI WATOAJI SANA AMINI NAWAAMBIA HIZO ROHO MNAZOZIPELEKA MOTONI MTAZIJIBIA HUKUMU ITASIMAMA KWENYE VICHWA VYENU MUNGU HADHIAKIWI KUNA MAFUNDISHO UKISIKIA ROHO MTAKATIFU ANAHUZUNIKA“ WAPENDA PASIPO MSAADA WA ROHO MTAKATIFU KIZAZI HIKI KINAKUFA TUNAFUNDISHWA UFAHARI WA DUNIA NA KUSAHAU KUELEKEZANA NAMNA YA KUISHI KUSUDI NA AGIZO KUU INJILI YA SASA IMEINGIZWA UDUNUA SANA HUKU TUKISEMA MUNGU ANAANGALIA MOYO MUNGU ATUSAIDIE SANA🙏🏽🕊️
2026-08-11 16:48:07
5
nathan_barton.ev
Nathan_Barton :
unawapoteza wengii
2026-08-11 14:40:37
9
masheyn_perfume
MASHEYN PERFUME ✅💐 :
tupe na andiko
2026-08-12 05:04:04
7
goldy_gee04
Goldy_Gee🔶 :
Ngoja nibaki Lutheran tu😂
2026-08-12 13:54:27
2
stephanopaulo597
stephanopaulo597 :
endeleeni tu kuwapoteza wasiojua neno hukumu yenu ipo, rafiki wa dunia ni adui wa Mungu kabisa
2026-08-17 18:51:26
1
mgkclassic
MGK TZ🇹🇿 :
Sikuizi michongo tu
2026-08-11 15:29:05
6
ishumaely1
ishumaely :
duuuu
2026-08-29 18:15:48
1
hassanmugire
OTSeI tutu :
hamna kitu hapa
2026-08-12 11:24:19
0
user0788473803
MWINJIRISTI PHIRBETH🙏 :
wewe maandiko yanasema tutawajua kwa matendo yao hakika hizi ni nyakati za mwisho!!
2026-08-12 20:21:04
4
user60776091581086
AMANI MAGANGA :
Kaka mm nimekuelewa sana tena sana watu kama hawa hautakiwi kuwaelekeza kwa ukali au kwa kuwasimanga na kuwanyanyapaa kisa mavazi au kisa hajasimama kiroho watu kama hawa wanapokuja makanisani tunatakiwa kuwaendo vizuri taratibu ipo cku atabadirika na kusimama kiroho na kubadirika kitabia hadi kimavazi watu wengi wanakimbia makanisani wanakutana na walokole wanaojionaga wao wakamilifu kuliko hata Yohana mtakatifu wa kwenye bibilia wanawanyanyapaa na kuwasimanga na kuwaelekeza kwa ukali wakiondoka hapo hawarudi tena kanisani Mungu akubariki sana kaka nimekuelewa sana tena sana👍
2026-08-11 18:17:49
3
user6974566555610
felicitous :
hata kuwa mnyakyusa sio dhambi.
2026-08-23 12:25:29
1
officialreymondpeter
REYMOND PETER :
MUNGU KWANINI USIJITOKEZE HAZALANI WATU WASIOKUJUWA KAMA HAWA UWAPE WANACHOSTAILI
2026-08-13 14:22:29
2
dboyprince01
A. B. D. U. L. I🥷🏾 :
Tuko mwaka wambele jaman tuko mbele ya muda
2026-08-11 22:18:18
2
To see more videos from user @pastor_nick_ipm26, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About