@jaysontz2:

Jayson
Jayson
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 07:45:30 GMT
63757
3412
444
158

Music

Download

Comments

magreth.msaki
Magreth Msaki :
Hii aina come back😂😂😂😂😂
2026-08-11 14:00:39
0
jennyjenifer.mlug
jennyJenifer Mlugu :
pes zipo bank
2026-08-11 13:38:25
0
neemajoseph2319
Ney :
Sasa Kama pesa Iko bank sisi tufanyaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mwakani Tena 💚💛💛💛
2026-08-11 08:13:16
88
mairihmagige
mairi777 :
pale ambapo mwalimu anahama shule Bila kuaga wanafunzi 😂😂😂
2026-08-11 09:58:37
36
muddybizz3
muddybizz :
Poor manager menejiment
2026-08-11 09:12:11
0
rashidiissa76
Mr Famous :
Ipo siku atatambulishwa Mo dewj Yanga day
2026-08-11 13:57:48
10
shey_vipodozi
Shey_vipodozi :
hatujamalizaaaaa mnajisahaulisha ya Benard Morrison 😅sisi hatujasahauuu
2026-08-11 08:15:34
17
kitungwa.jr
Kitungwa jr✊ :
yanga ni mwamba wa miamba tanzania
2026-08-11 10:41:56
11
edisonedmin
Edison :
naipenda yanga kuliko mke wangu
2026-08-11 09:51:40
13
sebarua5
Sebarua :
kwani yanga wenyewe wanasemaje??
2026-08-11 09:03:55
5
yosina.sibuti
Yosina Sibuti :
kila m2 atachanganyikiwa kwa wakat wake😂😂😂😂😂😂
2026-08-11 12:54:45
6
pendo1409
Pendo :
aiiishi mpaka iishe
2026-08-11 10:04:31
1
user1791563124103
user1791563124103 :
kweli yanga inaboa kama sio timu Yako sijui itakuaje
2026-08-11 13:08:31
2
hasham.tz
Hasham Tz :
pesa ipo bank😂
2026-08-11 08:18:02
2
happymbanga3
Happy Mbanga Mbena OG🦋 :
Tukutane Zanzibar
2026-08-11 09:00:08
2
abrahmanbalozi299
Balozi :
Simba Inafuraisha kama sio Tim yk
2026-08-11 07:54:29
8
user34739952613431
Nasma❤️🌹 :
na ipo siku tutaisajil simba 😂😂
2026-08-11 12:46:45
0
zuhurarajabuzuu
Zuhura rajabu :
napendaa mkiumia jamani
2026-08-11 08:25:44
9
ndrwe0
@ J Jonathan :
kuna muda nyuma mwiko unaweza kuwadharau na kuona simba ni wamaana sana ila nyuma mwiko wapo serious hawana uswahili kama hii tim yetu
2026-08-11 09:24:52
4
k4343199
K :
🔥🔥🔥Yanga bingwa 💛💛💚💚💚🖤💛💚
2026-08-11 07:56:09
3
user7814128671232
husna Hussain :
kila moja atachagayikiwa kwawakati wake
2026-08-11 09:17:33
1
mukhtari420
mukhtari :
bado hujasema kaka
2026-08-11 08:26:38
1
shashamani.the.goa
Shashamani the goat🐐 :
aaah
2026-08-11 08:05:27
1
azizamsuya0
azizamsuya0 :
pesa iki benk kelele za nn sasa🤣🤣🤣💚💚💛mwananchiiiiiiii
2026-08-11 09:30:51
1
To see more videos from user @jaysontz2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About