huyo ndio mimi sasa sipendangi kubembeleza na that's why nakaa pekeangu.
2026-08-11 17:04:35
56
Alhabib Znjbar :
Aquarius team 😊
2026-08-11 19:26:30
12
Kibanda Said :
Blood group O yani huyo ni mimi kabisa🤣🤣
2026-08-12 06:31:32
31
stevero alecteonic :
huyo ni mimi kabisaa sina muda na mademu,demu wangu mmoja ananitosha smart kabisaa
2026-08-13 00:19:07
18
Tschibu :
mbon Kam naingia na kutoka kwenye hizo code Kun ambazo Kam n mm alaf Kun zingn Sion Kam naingia zina nikataa kabisa 🤔🤔🤔
2026-08-11 21:45:51
20
blackjesus605 :
Self respect
2026-08-30 09:03:19
2
𝗗𝗝 𝗕𝗘𝗦𝗧 :
Huyo Mwanamke Ni Mimi Kabisa Aise Mm Nime Focus Sana Na Kutimiza Ndoto Mwanamke Ukiniacha We Nenda Tu
2026-08-13 13:01:55
7
kasasaart :
Mimi sinaga brand, nabembeleza huyo😂😁
2026-08-12 08:55:42
13
Fly hiro :
Oyaah!! mbona anataja Kodi zetu😎
2026-08-11 16:27:06
21
user9090006170399 :
i am *capricorn king*
2026-09-09 11:22:15
1
iFRESH Beard :
Kukataliwa ni sehemu ya maisha… kama ilivyo kwenye interview. Si kila unachokitamani utakipata mara ya kwanza; muhimu ni kuendelea kujaribu, kujifunza na kusonga mbele.
2026-09-17 05:50:51
1
Jonas Jovin 🇹🇿 :
mimi uyu
2026-09-09 12:43:06
2
Unknown :
Huyu mimi kabisa sijuagi kubebembeleza demu 😂
2026-08-12 08:30:40
7
bluudecoo :
mwisho ivivi2 avifundishi 2nazaliwa navo✨
2026-08-11 18:28:21
6
user7583785735746 :
ukweli mtupu
2026-09-07 15:34:52
1
predatory :
kama mimi yaan kutongoza ni kama najishusha vile kwan naumia na vitu vidogo mtu unamfata anakuambia achana na mimi daah naumia sana
2026-09-07 09:34:21
3
Costa Ngongo :
asate
2026-09-04 01:19:21
1
Fizoo😃 :
hii ya 5 kama mimi kabisa😂
2026-09-03 17:52:58
1
Shado Oo :
Nimekubali kuwaacha nao wapenda kwakugundua sio fungu langu na nimeamua kubak kwenye atima yangu ambayo ni mzik
2026-08-22 05:52:56
1
Tee Zee :
mnatusemaaaaaaa let us be
2026-08-12 07:39:52
2
LOGIC.YRN🕷️ :
kwann nifukuzie wanawake yan nifukuzie matatizo?
2026-08-13 08:41:28
2
wizzy b :
nan karejea kuskiliza km mm
2026-08-13 08:49:21
2
To see more videos from user @missrolicious, please go to the Tikwm
homepage.