@sportshqtz: 🚨 SUPRISEEEEE! SELEMANI MWALIMU NI MWANANCHI! 💚💛 Ilikuwa inasemekana anafanya mazoezi na timu ndogo, lakini ukweli ni kwamba msimu unaanza rasmi na Klabu Kubwa! 🔥 Karibu nyumbani Selemani Mwalimu! Wananchi mpo tayari kwa msimu mpya? Dondosha neno moja kwake hapa chini! 👇 #YangaSC #DaimaMbeleNyumaMwiko #Wananchi #NBCPremierLeague #SokaLaBongo #hqtz
sportshqtz_
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 07:54:08 GMT
Music
Download
Comments
Ibrahim :
Kuna siku tutakuja kuamka tutakuta yanga wamemusajili mo dewj
2026-08-11 08:28:34
127
TrEnt :
haina comeback
2026-08-11 09:38:19
0
Lailah Mussa :
Hii ndio betrayal in the city 🤣
2026-08-11 09:49:55
0
mirrani amir marian athumani :
hii haina comeback 🤣🤣🤣
2026-08-11 08:54:46
0
Ridia Bebwa :
ili nalo litapita
2026-08-11 08:56:00
0
Arnold mtasima :
kaka yanga wanasifa sanaaaa
2026-08-11 08:17:07
43
estoboy :
simba mkubwa kuliko sele
2026-08-11 08:35:06
23
marcopor Michael :
SIKUTE TIMU YA SIMBA NI CHANELI YA VICHEKESHO KATIKA KING'AMUZI CHA AZAM TV ALAFU ATUJUI 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-11 08:49:38
13
Cybersmash :
daaaaah!
2026-08-11 08:55:47
0
mr massawee :
leteee story
2026-08-11 07:57:00
0
OfficialkinzRoy BackUp :
UNAAMKA TU UNAAMBIWA CCM WAMEMSAJILI MBOWE... NASHINDWA KUELEWA 😊😊😊
2026-08-11 09:44:38
7
Miss_sadia 😘🤩🥰 :
we selemani we sele sele😂😂😂😂😂😂😂😂😂 karibu jagwani💚💚💚💚💚💚💚💚
2026-08-11 08:29:39
7
reggan :
yanga bingwa 😂😂😂
2026-08-11 08:26:50
6
yohana :
hatuna shid naye
2026-08-11 08:49:39
1
Antonnia255 :
Mim Nafulahi tu💚🧡💚🧡
2026-08-11 09:26:26
1
Coach stev baker :
jamaa tushamtambulsha msalt sana
2026-08-11 08:04:09
8
DOGO ABUU 🇹🇿❤️🇹🇿❤️ :
brother unajua sana omba uwe mchambuzi wa mpira unakipaji brother
2026-08-11 07:58:45
8
king Thomas :
sisi tunawaumiza tu hata kama hatutamtumia seleman💚💚💚💚💚
2026-08-11 08:32:43
5
Editha Jacob :
tatizo hamtaki kumsikiliz Ally kamwe alivosema kunamchezaji wetu anawachezea huko Bado hamna shkran🤣🤣🤣
2026-08-11 10:04:32
1
Baraka Jm :
ila machoni pa mashabik inaonekana ila yanga wanaumia kwa hasara wanazoinhia za kusajili ili tu waonekani moyoni ni hasara tu
2026-08-11 09:28:23
0
misheni cosmas :
muliambiwa mapema kwamba kunamxhezaji wetu anacheza kwenye tim yao hamkuelewa au
2026-08-11 09:53:43
3
Nady :
kwani selemani anauwezo upi wakuu mnajua mnampaisha sana, mtu anamaliza msimu na anamagoli 7 sijui aende tu mie sikuwa naona uwepo wake
2026-08-11 08:55:28
0
To see more videos from user @sportshqtz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.