bora ata mmechukua ilo galasa mi nilikua silipendi hamna mchezaji apo nyii chukueni
2026-08-11 11:35:53
6
kutoka14 :
tamaa na utu havikai nyumba 1 Wacha tuone
2026-08-11 09:12:31
8
GOD FATHER :
akuna taasisi inauwongozi mbovu duniani kama taasisi ya simba
2026-08-11 09:12:34
8
ASH KHAN 👳😇 :
kweni simba wenyewe wanasemaje 😅😅😅😅
2026-08-11 08:43:08
5
King Raysa :
Lkn hii sign siyo afya kwa mchezaji kama anata kucheza afcon
2026-08-11 11:16:10
2
Hassani Killo :
alikuwa wapi kusimulia kabla ya usajili
2026-08-11 09:01:09
7
user4268313576280 :
Tutamsaidia udai january..😂😂😂
2026-08-11 08:51:00
7
salmasaidi057 :
nashidwa kuelewa
2026-08-11 09:30:32
2
Mpslim Mustapha 🫡🫡🫡🫡 :
2026-08-11 08:48:50
2
Fidas mwaghitegelesya :
wachezaji ni kama wanasiasa
2026-08-11 09:51:14
2
Hijah Athumani Kambi :
macho kwenye screen
2026-08-11 09:00:23
2
OfficialkinzRoy BackUp :
UNAAMKA TU UNAAMBIWA CCM WAMEMSAJILI MBOWE... NASHINDWA KUELEWA 😁😁
2026-08-11 09:38:12
4
Captain_Scott :
sawa ngoja tuone ya chama
2026-08-11 09:23:55
3
Zinduka255 :
2026-08-11 09:03:15
1
katwe :
HAKIKA YANGA TUPO KWENYE MIKONO SALAMA
2026-08-11 08:54:42
2
Habity Laura afya epic :
yaaanii hiii ka ileee ya morsson😁😁Uwiiiiiiiiii
2026-08-11 08:29:09
2
muki :
jamaaa qnajuwa mpila na maisha
2026-08-11 08:51:48
5
Mpslim Mustapha 🫡🫡🫡🫡 :
KWA VYOMBO VYOTE VYA HABARI TANZANIA 🇹🇿
Naitwa Mpslim Mustapha. Ninaishi Burundi lakini ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mimi ni mtayarishaji na mwigizaji wa filamu, na kila siku napambana kutimiza ndoto yangu kupitia sanaa.
Kuna mtu mmoja ambaye amenipa hamasa kubwa sana katika safari yangu ya uigizaji, naye ni Gabo Zingabo. Kazi zake zimenifundisha kwamba mafanikio yanapatikana kwa juhudi, nidhamu na kutokukata tamaa.
Ndoto yangu kubwa ni siku moja kufanya kazi pamoja na Gabo Zingabo katika filamu moja. Si kwa sababu ninajiona nimefika, bali kwa sababu naamini kila ndoto halali huanza na hatua ya kuamini.
Naomba vyombo vya habari vya Tanzania, wanahabari, waandishi wa burudani na wadau wa sanaa mnisaidie kuufikisha ujumbe huu kwake. Huenda kushare kwenu kukawa daraja la kubadilisha maisha ya msanii mmoja anayepambana kwa bidii.
2026-08-11 08:49:10
4
To see more videos from user @vkbmedia, please go to the Tikwm
homepage.