@jambofmtz_: Hali ya taharuki imetanda Mkoani Dodoma mara baada ya kijana mmoja aliye fahamika kwa jina la Festo Mabangi,kukutwa akiwa amenasa katika duka la vipuri 'spare parts', baada ya kujaribu kuiba katika duka hilo lililopo Chadulu mtaa wa Sechelela kata ya Tambukareli jijini Dodoma. Mashuhuda wa Tukio hilo akiwemo Mwenyenyumba pamoja na mwenyekiti wa mtaa lilipotokea tukio hilo wamezungumza na @jambofmtz na hii ni ripoti kamili. Taarifa na @officialgdgideon imesimuliwa na @official_chilato Ed. @afisa3_official @jambofmtz #jambofmtanzania #chaguamaishafresh
nataka huyu mganga aningandishe hivi na wateja wangu😂😂
2026-08-11 12:14:03
18
MISS MJESHI❤️ :
tuombe Baba wa mbiguni, Tafadhali Gusa mwili wa mtu anayesoma ujumbe huu kwa uponyaji na amani gusa, Hali ya kifedha na uwafungulie milango mipya ya utafutaji mwaka 2026 ukawe mwaka wa mafanikio kila uliombalo likafanikiwe 🙏🤲
2026-08-11 18:38:52
10
@festo :
mbonaa festoo jamaniiii 🤣
2026-08-11 11:14:35
9
nellyson :
Atupe number za mganga
2026-08-11 10:59:44
8
_zaeitoun_ :
sijui nacheka nn😭😂
2026-08-11 16:54:27
1
Emilliana Mhagama :
namba ya mwenye duka jmn plz
2026-08-11 18:21:14
0
Rama hamis :
acheni tamaa vijana wenzangu tufanyeni kazi Mungu hamtupi mja wake tamaa mbaya
2026-08-11 17:43:20
2
Mwamtum🥰🥰 :
akiwapa namba nitumie
2026-08-11 12:25:13
8
Ayayae girl :
Haki wezi wanakwaza jamani ,m nimeibiwa mashuka mapya na vitenge vyangu
2026-08-11 14:16:22
5
@meckfrida :
ila wagogo
2026-08-11 16:45:20
0
Ryne Mandramah💕 :
Si atakufa jmn huyu kaka😔
2026-08-11 13:36:20
4
d square🦋 :
WANGEMTAFUTIA NGAZI JAMN ASIMAME TUU KWNY NGAZI AKIW HAPO HAPO JUUU DAAH!! HIYO ADHABU NI KALI MNOO🥺