@_officialseba255: Zamani nilijua MO anahela hasa alipowasajili MIQUISON, CHAMA, BWALYA na KAGERE ila tangu alipokuja GSM nimegundua hana hela wachezaji aliokua anawanunua walikua BEI CHEE ila kwakua GSM hakuwepo tuliowaona wa BEI JUU, Bila GSM kuja kwenye mpira MO angetupanga kuwa anahela sana

Officialseba255
Officialseba255
Open In TikTok:
Region: BE
Tuesday 11 August 2026 09:00:34 GMT
33225
1462
52
55

Music

Download

Comments

minzamis
Miss Minza :
🤣🤣🤣 na mitandao ya saivi🤣🤣🤣
2026-08-11 14:49:22
9
abdulbach2858
abdulbach2858 :
YANGA BINGWA 😁😁😁
2026-08-11 12:09:03
9
paul.lukumay1
Paul Lukumay :
mim sio shabiki.ila kijna kuhusu swala la hela Jamaa ana hela uwez mfananisha na GSM
2026-08-11 15:04:29
1
abdallahabdul3
abdallahabdul3 :
2026-08-11 11:05:22
3
christina.patrice91
Christina Patrice :
pesa ipo banki
2026-08-11 17:01:38
2
glady.willy6
Glady Willy :
sasa jeeee angeendeleeeaaa kutupangaaa kweliiiiii😂😂😂
2026-08-11 17:54:03
1
iamukhtar_
iamukhtar_🇹🇿🇺🇲🇨🇦✈️🛩 :
Ukwel mtupu 😂
2026-08-11 19:30:04
0
user3856268227014
user3856268227014 :
sisi hao
2026-08-11 14:09:31
1
kingmooally
🌻 :
saa9 usiku 🤣🤣🤣🤣 mtandao huwa unasumbua
2026-08-11 19:49:36
0
user2615508214596
user2615508214596 :
live 😁😁😁
2026-08-12 06:50:12
0
zanuy06
@zanuy💯🤎 :
asant
2026-08-11 11:59:22
1
charles.willam71
charles willam :
yanga bingw
2026-08-11 20:13:31
0
user8226876399105
BMG GYM :
Sio mapanga tu hata wale simba tulio waleta kwenye simba day tungewafata kwa ajili yao maana wange turahisishia kazi😂😂
2026-08-12 02:17:36
0
edda.shabani
Edda Shabani :
hera hipo benk
2026-08-11 19:20:14
1
user7576756773392
Kelvin Katambi :
FREE JUMA JUX
2026-08-11 20:21:10
0
jacksonmiho270
jeco jaki :
mzee wa yangaa😂😂😂
2026-08-11 18:57:07
0
benadibenadichama
odulah akoll :
kweli
2026-08-11 09:13:24
1
user2125386814810
neema :
2026-08-11 14:22:48
1
lovenessmosha2
love mosha :
ety sio za hemedi 😂😂😂😂😂 ila hii nchi yangu hapana
2026-08-13 07:44:12
0
19sudi
19sudi :
SISI HAOO🤣🤣🤣
2026-08-11 16:59:05
1
rajabu.juma989
Rajabu Juma :
tunajuta kuwa na tajili muhindi
2026-08-11 09:07:03
2
asha.masalu5
Asha Masalu :
pes hip bank hahaha 😂😂
2026-08-11 21:57:21
0
steverichard76
Steven richard :
Tajir aongei sana huo muda anatoa wapi wa kuchekecha mambo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-12 04:31:10
0
To see more videos from user @_officialseba255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About