hakuna pesa ya mwana ume wala ya mwana mke zote niza familia ambae Rais ni baba wa zili mkuu mama na wa bunge ni watoto
2026-08-11 15:39:51
14
kasasaart :
Pesa ya mke wangu ni yangu na yangu ni pesa ya familia
2026-08-12 10:39:57
3
Mo town :
Wanaume wengi atujui haki zetu za msingi good
2026-08-11 16:29:52
9
samootz :
mm siwez z Bora tuachane kila mtu akatumie hela zake tuamke vijana
2026-08-11 16:06:43
6
Lydia Joseph :
na hili jambo ni kibiblia kabisaaaa sema wanawake Huwa hawakubaliani na hl
2026-08-11 17:48:18
6
zephany :
ata mm hua nashangaaa
2026-08-11 18:13:25
3
user29908259724084 :
me mchaga huli kirahisi lbd niamue nikitoa ni kwaajili ya familia mambo yaende ila sio wajibu wangu
2026-08-11 18:26:40
2
Rally Addict :
huyu jamaa anaitwa nan
2026-08-11 17:01:24
3
Daniel Yohana Mgaya :
Inategemea aina ya Ndoa na kiapo.
2026-08-12 05:55:05
0
Iddy Apple Tz 🍏❤️ :
nawakubali sana
2026-08-11 10:18:38
4
Sceb23 :
Mwanamke anapeleka kwao. Kuna watoto wa kaka zake wanataka ada huko
2026-08-11 14:29:58
1
The introvert King :
ndiooo hahahaha
2026-08-11 17:50:18
0
Rogers_Daudi :
Mm nioe yeye pesa ahonge viben 10 bora aache kazi nimfungulie biashara jioni tufunge hesabu ndo sio mzaha mkataba na viapo vya kutosha ILA kama huna sababu ya msingi usioe wala kuolewa have your money enjoy life
2026-08-12 02:31:59
0
ally! & msumeno8🍿🤲 :
tasisi! nii kitu kimoja😂😂
2026-08-11 19:22:28
1
steer kamaaley :
kweli kabisa ndoa ni taasisi
2026-08-11 16:50:50
2
patel. :
kaka upo sa hihi ..
2026-08-11 09:35:04
1
Lustre Gems :
Kila mtu abaki na zake😂😂😂
2026-08-12 07:23:24
0
TALAMBE HOUSEWARE :
saf
2026-08-11 10:49:48
1
ngoningonnile :
nashukuru mke wangu akipata hela ananisaidia kununua vitu vya familia
2026-08-12 11:09:03
0
Mc PapaRazzy💪 :
Wa Ivo unakaa naye Wa nn??
2026-08-12 14:02:13
0
Hehehe :
kwa sisi waislamu ni ya kwake, keamujibu wa vitabu. ila anaweza kusaidia familia kama atataka.
2026-08-12 12:47:12
0
Elifred-🇹🇿🇺🇬🇰🇪🔥🔥🔥 :
pesa zote anazopata zangu na yeye wakwangu kama unabisha sema
2026-08-12 12:26:42
0
dofficialtz :
Mimi nimeoa huyo mwanamke ni wangu na hela yake ni yangu😂😂😂😂 hii yenyewe
2026-08-12 11:10:53
0
chosen.one :
Kweli kabisa
2026-08-11 17:09:19
0
To see more videos from user @sdp_updates, please go to the Tikwm
homepage.