nyie Jamaa muishi milele, mana mtatusaidia sanaa na nimejua mengi kupitia nyie
2026-08-26 17:03:18
1
losiriszz :
alkebulan ni africa au edeni
2026-08-11 14:04:20
2
Lavendah Favoured :
wah kiswahili is too difficult!! what is mattambiko in English?
2026-08-17 11:54:07
1
Nizoo@27 :
Allah ni mmoja na uumbaji wetu ni mmoja na kwanza ni kauli yake ....
Maji, Mawe, Miti, vyote hivyo vimeumbwa na Allah kwa neno lake ...
Hiyo miungu mnaosema haipo bali kuna Mungu Mmoja ambae ni Allah ambae hazaliwi na Hana mshirika katka uumbaji wake.
Hizo mnazosema ni Asiri yaa uumbaji Wa Allah ....
Na Allah ndoo ameweka katka Bin Adam na Shaytwani na mizimu hiyo mnayosema IPO kwa ajili ya Allah
2026-08-16 13:36:21
1
Jaffar Zoro :
ndio kbx🤘🤘🤘🏽
2026-08-11 09:47:38
3
Barthélémy Luhanga :
endeleeni kuamsha wa afrika, Mungu mwenyezi na miungu yetu ikubariki kiongozi mkuu matuta alkebulan. mimi ni BARTHÉLÉMY nikikufata tika inchi Ya DRC
2026-08-11 16:55:26
6
Frank Ngowi :
Hotep
2026-08-11 10:25:49
2
Herman zakaria :
nmekubali kiongoz
2026-08-11 11:43:48
0
yolandaBenz :
Hata mimi nilikua sijui kama tuko na Miungu..mpaka nikaanza kuonyeshwa kua ..kuna Water Gods...na Tree Gods...nikaletewa River Nile na river flani iko kikuyu land kenya.... hapo ndipo nilijua We Africans Have Gods...
2026-08-23 10:30:01
2
Mizimu ph :
kiongoz nakupata wap?
2026-08-11 17:41:16
1
Snake Hood :
hotep
2026-08-12 06:34:18
0
Muhindo Kafekite :
African people 🫡
2026-08-11 21:54:47
0
Ankole 😎😎⚽️ :
jamaaa tusadienii mana njia ambazooo izi dini zinatupelekaa ni kubaya atujui ukweliiii wa mambo
2026-08-23 08:09:16
0
Kasa Mumbere :
ndo nime amini kumbe afriqua ina rudi tena mana cote watu wame anza ku iunjuwa maana ya afriqua asante sana wenye afriqua wa na injiya sasa watu wawe makini sana
2026-08-13 15:35:03
0
poor billionaire :
asante sana wafrika wenzetu
2026-08-15 07:58:43
0
Hello🇹🇿 :
usichoke kutupa elimu
2026-08-20 17:01:16
0
Djodjo :
hotep
2026-08-17 15:23:25
0
Mbuzzi :
kwani hii movie inaitwaje
2026-08-20 09:46:15
0
John Sakalani :
Africa ndiyo bustani ya Eden yenyewe sababu Kuna Kila kitu
2026-08-25 15:41:07
0
YAHULULA :
SAWA
2026-08-15 12:22:39
0
gee222 :
tunaomba pia historia kabla ya ukoloni jinsi Africa ilivyokuwa,zile pyramid zilivyojengwa na kila kitu
2026-08-15 20:21:18
0
user143079776226 :
hello
2026-08-15 19:31:34
0
Pele Juma :
ok
2026-08-15 17:19:54
0
TASTER M7 :
5D understanding
2026-08-15 15:33:12
0
ALAIRGE09 :
Amen Rah
2026-08-11 13:05:31
0
To see more videos from user @matuta_alkebulan, please go to the Tikwm
homepage.