MIMI SIO MKRISTOO LAKINI HAPA KWA HICHI WANACHO JADILI NAONA NDACHA YUPO SAWA KWA MUJIBU WA KITABU CHAO
2026-08-11 18:44:04
17
james jira :
Kuna mahali ndacha anapeleka watu na sio mbinguni.
alianza vizuri sasa kwa sababu amepata wafuasi wengi ambao walimwamini kwa kutetea christo kutoka kwa waislam sasa ameamua kutangaza wazi mission yake.
Biblia inasema mambo ambayo hayajafunuliwa kwetu tumwachie yeye, kumbukumbu la torati 29:29 mi Nazario maada ambayo imekuwa mkijadiri haijafunuliwa kwetu, kwahiyo mnapaswa kuachana nayo hiyo maada
2026-08-18 14:52:24
0
Mkinde :
MUNGU NI MMOJA TU
2026-08-11 20:38:02
5
johnatection :
huu utatu apana leo ndio nazaanz kuelw wnamaan gan kuusu utatu
2026-08-12 08:22:04
0
TWIN VOICE :
ukweli nikwamba yesu ndiye mungu
2026-08-13 08:56:21
0
Eliud Jackson645 :
sielewi Wana maana ngn
2026-08-13 13:53:54
0
user61158818082 :
ndacha Ako sawa anasema ukweli wa biblia
2026-08-13 17:13:37
1
user94105528147932 :
yesu ni mwana wa mungu.
2026-08-13 13:28:39
1
hillsong :
mwankemwa anaongozwa na roho mtakatifu,rakini wakina ndacha wanaongozwa na na mwili be blessed Mr mwankemwa
2026-08-12 13:58:55
1
lilian edward :
kitabu cha yohana kinasema.
tumepewa mtoto mwanaume, jina lake Emmanuel, mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele
so huyu yesu ni mungu mwenye nguvu, na ni Baba wa milele.
hizi sifa ni za mungu wa mbinguni aliyezifanya mbingu na nchi.
2026-08-12 10:39:11
4
son :
Uyu mwalimu mwingine anaitwa aje nimfuate
2026-08-11 18:02:54
2
user9936843027424 :
ndacha anakana anaupinga kristo
2026-08-11 16:16:41
1
Suleiman Ali :
mbona mnabishana wenyewe?
2026-08-11 18:36:35
2
chii laa :
Dacha akuna anaekueza upo sahihi watakuelewa tu
2026-08-12 06:10:39
4
To see more videos from user @7jesusfirst7, please go to the Tikwm
homepage.