@veriafya: Daktari Bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzazi, Godfrey Chale anashauri umuhimu wa wazazi kuchunguza muonekano wa korodani za watoto wa kiume kabla hawajafikia umri wa balehe ili kuwaokokoa dhidi ya changamoto zinazoweza kutokea ambazo huathiri mfumo wao wa uzazi kutokana na kupotea kwa uwezo wa kurekebishika. Akizungumza kupitia Malkia Choice FM, Dkt. Chale anatoa pia wito kwa wazazi kutokuwa wabishi pindi wanapopewa ushauri na madaktari kuhusu matibabu sahihi ya changamoto za kutoonekana kwa korodani kwani matibabu ya mapema huwa na ufanisi zaidi.

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: ZA
Tuesday 11 August 2026 09:40:07 GMT
55926
641
32
420

Music

Download

Comments

shania.boniphace
Shania Boniphace :
nije niaze kukagua mwanangu
2026-08-11 18:39:40
1
joycesteven210
Joy :
doctor tunaomba no jmn wahanga tupo wengi
2026-08-11 11:20:15
2
nyangwiza0
mj@double2 :
Nina mapacha wa Mika 11 Kwa sasa,mmoja akiwa mdogo Tu niligundua Kua anayo moja,tyr aimeshashuswa,baada ya muda mrefu mwingine naye nikaona zimepotea zoteHapa ndo najiandaa kumpeleka hospital,
2026-08-11 12:06:42
1
katushabe5215
katushabe :
doctor uko wapi
2026-08-11 09:50:05
0
user93272992
ma 'zuu :
Nimejifunza
2026-08-11 18:45:11
0
treasures9309
treasures :
mwanangu mm yupo ana mwezi mmoja jee anaweza kufanyiwa op
2026-08-11 13:13:09
1
aniphashadrack961
Anipha :
duuuuh unajuaje kwamba simehama hasipo
2026-08-11 18:36:42
0
adventina5
SURAIYA @120 :
Mimi wangu ana miaka 7 Moja hua imepotea ,nn nifanye
2026-08-11 15:56:51
0
usermaisha8328158879982
user8328158879982 :
unapatikana wapi
2026-08-11 17:22:02
0
user6886612323312
user6886612323312 :
duu jamani mwanangu alikua ivoivo
2026-08-11 17:13:04
0
user6563841246908
user6563841246908 :
dokta wangu yupo hivo anamiak 4 Yani inavimba sana 1
2026-08-11 17:58:13
1
marga5121
Marga :
Nimemkagua sasa hivi kanikimbiza nisimchungulie 🤣🤣🤣lakini nimefanikiwa 💃🏾💃🏾
2026-08-11 18:43:28
0
user3561987586399
john :
Huyu Baba Mwenyezi Mungu azidi kumtunza ni Daktari na Mwalimu Mzuri wa afya anafundisha mafundisho ya Ndoa pale Msimbazi Senta.Anafundisha vizuri sana na anajibu majibu vizuri sana
2026-08-11 17:37:31
0
grace.thomas.olel
GRACE THOMAS OLELAPUT :
dr wangu 1.5yr huwa zina potea na kurudi mara mojamoja, nilimpeleka hosp wakasema hana shida baada ya ultrasound, lkn nina mwezi sasa haijawai kumtokea,
2026-08-11 12:41:37
0
zuhura.mrisho67
zuhuramrisho20 :
Dr wangu anamwaka sasa huwa moja inavimba nilienda hospital nikaambiwa bado mdogo hawezi kupasuliwa
2026-08-11 12:28:18
0
vian_crochet
vian :
wangu mm nilikua namkagua hadi la Saba
2026-08-11 13:13:24
0
user631137212257
Nyamongo Da G collection :
Yaani tupe maujuzi
2026-08-11 11:31:40
0
usermaisha8328158879982
user8328158879982 :
naomba namba yako doctor
2026-08-11 17:22:18
1
hellenjohn601
mercyjohn601 :
doctor tunaomba namba zako
2026-08-11 10:45:35
0
lisa.de.lishas
Lisa de lishas :
mmmmh wangu anayo moja
2026-08-11 11:20:31
0
fatmamasaka
Fettyfetty :
kumbe Kuna siku nilimuuliza doctor kuhusu hizo vitu akasema namkagua mtoto nataka kumfundisha nini
2026-08-11 18:45:41
0
tarimetowntotoshop
Mkurya@Miss billionaires :
hata wangu Moja ilikuwa juu mama ndo aligundua tukampeleka hospitali ikaibinyabinya akasema itashuka ,Mungu mwema ilishuka tu mapema Yuko sawa sasa
2026-08-11 17:22:13
0
user4265312935694
user4265312935694 :
sielew chochote na babaake hajali kukagua wanae
2026-08-11 11:27:00
1
iamdedee08
DEM@🌸 :
@Official Emashe TZ😎
2026-08-11 09:55:42
0
lp2501046
Dr.Lissah.🥼💉🩺🦴🇹🇿🇺🇸. :
💝💝💝
2026-08-11 12:05:09
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About