@papakgaa86h: #agriculture #farmmachinery #farming #amazingmachines #fypシ゚

papakgaa86h
papakgaa86h
Open In TikTok:
Region: PK
Tuesday 11 August 2026 09:45:39 GMT
1322
23
1
0

Music

Download

Comments

papakgaa86h
papakgaa86h :
amazing
2026-08-11 09:46:15
0
To see more videos from user @papakgaa86h, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

TREATMENT YA FUNGUS KWENYE MSINGI – SIO TILES PEKEE! 🏠🔥 Leo nataka nikuonyeshe difference baada ya kufanya treatment ya fungus, hasa kwenye eneo la chini la msingi ambalo limekuwa likisumbua nyumba nyingi kwa kubabuka, kuvimba na kushambuliwa na fungus. Kama unavyoona kwenye video, tume-skim mpaka chini kabisa, lakini hatukuishia hapo. Kwanza tulifanya treatment ya fungus, kisha tukaweka Binder kama bonding layer ili kusaidia skimming ishikamane vizuri na idumu kwa muda mrefu. Baada ya hapo tukafanya skimming na putty, na sasa kazi iliyobaki ni kusugua na kupaka rangi. Kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa wakiweka tiles au mawe kwenye sehemu ya chini ya nyumba. Sio fashion tu—mara nyingi ni kwa sababu wanataka kulinda eneo hilo lisibabuke, kuvimba au kushambuliwa na fungus. Lakini sasa kuna njia nyingine ya kisasa zaidi. 🔥 Unaweza kupata mchoro safi wa rangi mpaka chini kabisa ya msingi bila kutumia tiles au mawe, kwa kufanya: ✅ Treatment ya fungus ✅ Binder/Bonding ✅ Skimming ✅ Putty ✅ Kusugua vizuri ✅ Kisha kupaka rangi bora Matokeo yake ni monekano mpya, safi, wa kisasa na wa kuvutia zaidi, huku eneo la chini likiwa limefanyiwa treatment sahihi. Usikimbilie kufunga tiles au mawe kwa sababu tu ukuta wa chini unababuka. Tatua chanzo kwanza, kisha fanya finishing sahihi. 🔥 FINISHING MASTER – Wataalamu wa Finishing za Kisasa. 📞 Tanzania: +255 659 410 501 📞 Kenya: +254 105 073 201 📞 Uganda: +256 705 761 842 #FinishingMaster #ModernFinishing #FungusTreatment #Skimming #Painting

About