@director.marlow: #congotiktok🇨🇬🇨🇩🇦🇴🇨🇲🇬🇦🇬🇳🇲🇱🇷🇴

Director Marlow
Director Marlow
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 09:58:39 GMT
137563
5262
191
239

Music

Download

Comments

linah.jr7
Linah jr.. :
simnipe hata million 10 nimalizie kibanda changu
2026-08-11 15:44:48
1
makoyeelikana423
makoye elikana :
👑👑 king makoye matinted in mwanza city
2026-08-11 16:29:13
0
user3571082181425
Zabibu🍇 :
sasa izo ela si muwasaidie simba jaman😂😂😂
2026-08-11 15:05:46
26
jackson.nghili.ki
Jackson Ng'hili Kifungo :
Magufuli angekuepo yote haya tusingeyaona😂
2026-08-11 15:30:12
28
farhiya.rahma
Farhiya rahma :
hii sio saw pesa mnatoa wap!!!
2026-08-11 14:30:50
29
fatma.mussa14
Fatma mussa :
ndo maana rais Samia kasema munajiweza
2026-08-11 15:31:06
14
_lou121
user5081883420369 :
na watoto wanaopotea unaweza kutuambia wanaendaga wapi
2026-08-11 14:19:04
8
main.gate32
Main Gate :
zilivyo na masharti sasa usiombe kuzipata
2026-08-11 15:44:51
7
zulfa.angerousi
Zuuh💕 :
yaan tunahangaika kutafuta pesa kumbe mnazo huko😅
2026-08-11 15:24:39
11
isacktuliibra
Isack Tuli Ibra :
Zoom properly.....Tanzania atuna pesa ya rangi io afu atuna maji yanaitwa EVA😂😂😂
2026-08-11 17:39:01
3
irenedeogratius96
renysmile🥰🥰 :
na serikali imenyamaza tuuu
2026-08-11 16:12:14
2
amosi.chacha62
Amosi Chacha :
wage kijijini kwao Kila mtu million 3 ya mtaji
2026-08-11 13:47:52
6
vicksamweli
MOYO WENYE SUBIRA :
mmmmh sina usemi
2026-08-11 14:05:47
1
michaelsawile441
Michael Sawile :
Hawa jamaa Wana pesa
2026-08-11 13:38:35
1
adija.ramadhan02
Kamamaa02 :
me nataka Mubaba mmoja tu wa uko
2026-08-11 14:38:54
1
elizabeth.maduhu3
Elizabeth Maduhu :
mantukosea mwishoe tukisema tunatokea katoro tutekwe kumbe hatuna hata mia😅😅😅
2026-08-11 15:27:58
0
devotha.milumbe
Devotha Milumbe :
hii sio tanzania
2026-08-11 16:02:41
1
helenamakole
Helena Makole :
naomba nije niolewe huko kamani
2026-08-11 10:15:10
1
mpua38
user2953329103681 :
mie naomba mtaji hata wa kuchoma miogo
2026-08-11 15:02:02
1
veronicazabron517
Veronica Zabron :
Mm naomba niimarishe usarama
2026-08-11 12:01:26
2
magretty3
mama passion❤💖 :
nipunguzie😂
2026-08-11 11:16:41
1
rose.joseph.ngowy
Manka :
Mimi sitaki niwe nalala juu ya kaburi ngoja nikauze zangu karanga
2026-08-11 17:49:41
0
user60500568381754
[email protected] :
unajua sisi wasukuma tupo idala yamadini ndomaana tunahela
2026-08-11 14:03:47
3
To see more videos from user @director.marlow, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About