@diamond_mihogo: Karibuni sana wateja wetu wapendwa Diamond Mihogo tupo wazi na tunawangoja kwa hamu! Mihogo tamu, mishkaki moto na huduma safi kabisa Usipite tu… karibu ujipatie kitu kizuri! Tunapatikana Kinondoni Manyanya mtaa wa Karafuu.

diamond_mihogo
diamond_mihogo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 10:10:45 GMT
45148
2160
47
60

Music

Download

Comments

natalyaaaaa
☀️ :
Roseyyyy my wangu😍
2026-08-11 17:26:35
0
rey_collection2
🌸🤍 :
tafuteni mtu wa kupokea oda tyu,, na oda zenu anzeni kupokea saa nne asubh had saa sita chakul kikiwa tayri ni kupack na kumpa boda.... sehemu nying za restaurant wanavyofanya
2026-08-11 17:28:10
54
katoto776
katoto :
huduma zenu zero kabisa
2026-08-11 17:33:53
17
gorgeous9118
gorgeous 😍 :
Mkipigiwa hampatikani
2026-08-11 16:55:24
13
ule011297
Adoh🌹…. :
Mjipange huduma bado mbovu mno sms hazijibiwi simu hazipatikani
2026-08-11 16:08:38
12
smartpoint833
♎️ LIBRA GIRL :
Jaman naomben namba inayopatikana nimeongea na mtoa huduma wenu kwenye sim naona hampatikani mtu anatoa oda ya mchana hakuna kupika hampatikan maana yake nini
2026-08-11 11:27:04
8
casindy234
CASINDY STORE. :
mm niliwek oda simu ikazimwa kabsaaa had leo sijarud tn
2026-08-11 18:53:07
4
prisca.kanju
prisca kanju :
mnaweka namba tukipiga haipatikan kuleni wenyew sasa
2026-08-12 10:44:53
2
mosha_tz
Mosha🍀 :
Mwanzo mgumu jaman mtuvumilie
2026-08-11 19:57:55
2
layurhassan
Layur :
kbsaa huduma sio nzury
2026-08-11 18:21:16
2
momfeimu
Mom fei mu :
Huduma mbov miog saa sita😳
2026-08-11 19:06:10
1
madboi195
user9251642786325 :
Nataka Mihogo Chanika Homboza
2026-08-11 16:46:21
1
hussein.makwendo
Hussein Makwendo :
upo wazi kweli
2026-08-12 08:17:11
0
jareth.isaya
Jareth Isaya :
mimi namtaka lozi
2026-08-12 04:04:10
0
shamimakram12
shamimkareem450 :
jumapili mnakua wazi
2026-08-11 10:43:27
3
agathamachiro
Sasamu Agatha :
nimefika hapo sikula nyama wakati niliweka order
2026-08-11 17:03:57
0
rumosa01
rumosa :
mbona munachelewa kuanza 😁
2026-08-11 16:42:53
0
chakuchokanasmisharuby
Cha kuchoka :
naombeni KAZI ya yyt
2026-08-11 15:27:55
0
shuubrown7
Shuu brown :
Nipo kibaha nahitaji mihogo
2026-08-12 08:51:49
0
pm_electronics_arusha
Arusha Electronics :
karibuni sana jamani
2026-08-11 15:20:44
2
pm_electronics_arusha
Arusha Electronics :
karibuni sana
2026-08-11 15:21:00
2
azizaa155
Azizah hasheem2 :
Msitangaze tu maana hamjielew😂simu yenu haipatikani huku mtandaon mmamtamgazia nani?
2026-08-11 16:15:04
1
hussein.makwendo
Hussein Makwendo :
anzeni asubuhi acheni uvivu
2026-08-12 08:17:37
0
To see more videos from user @diamond_mihogo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About