@7jesusfirst7: Maswali Na Majabu kuhusu UTATU pt 2 #wakristo #sda @FRANCIS NDACHA GATIBA

Peter Ke
Peter Ke
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 11 August 2026 10:42:21 GMT
8362
361
33
22

Music

Download

Comments

juliecathy05.com1
Catherine ongubo :
ndacha u're okay with u're teachings .If I may ask are we supposed to be baptized in three names i.e father,son en the holy spirit according to matt 28:16..
2026-08-11 19:06:36
1
user560917607232
ibrahim :
ndacha saruti kwako 🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-08-17 14:54:39
0
elibarikijohnson0
elibarikijohnson9 :
powerful
2026-08-13 18:37:30
0
user1568717143272
TELE GRÂCE :
axanti kwakutuandaliya haya mada mutuoneshe ukweli kuusu hilo jambo tunawafata huku congo
2026-08-11 11:24:11
1
user1471768063579
user1471768063579 :
Ndacaakosafi
2026-08-16 18:12:07
0
caleb.moses3
Caleb moses :
ndacha you're the best
2026-08-14 18:04:30
0
user9936843027424
user9936843027424 :
ndacha ataelewa kwaloho mtakatifu
2026-08-12 17:21:28
0
tim2ktv
Tim K :
Yesu ni Messiah na Mungu ni Jehovah.
2026-08-12 21:58:29
0
kasim.kasim0520
QASIM QASIM :
ndacha waeleweshe kabisa
2026-08-11 13:18:27
0
mujwasteven
kilimanjaro mountain :
huyu jamaa atabadili muelekeo mzima wa kanisa
2026-08-13 12:56:52
0
elius.ndosh
elius ndosh :
kama wote sawa kwa nini tusitumie jina la mmoja wao tukibatiza???
2026-08-13 08:36:19
0
mwinyiwaliuzi
user94105528147932 :
mutumishi ndacha mungu akubariki sana.
2026-08-13 19:00:40
0
ibrahimj248
Ibrahim :
kalibuni katka chuo cha umisheni cha sayuni tujifunze Biblia na mafumbo yaliyoandikwa humo.
2026-08-14 09:28:17
0
samuelshashanga
Samuel Shashanga :
yohana 14 18 Sitawaacha ninyi yatima; naja kwenu. 23 Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
2026-08-13 01:32:10
0
majanitz2
Majani Tanzania one :
baba ni mungu,, mwana ni yesu na roho mtakatifu ni malaika ambae hutumwa kuunganisha kati ya mungu na manabii,,,,
2026-08-18 14:30:14
0
mosopkipmosop3
kipngetich :
Genesis 1:2 [2]And the earth was without form, and void; and darkness was upon the face of the deep. And the Spirit of God moved upon the face of the waters. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
2026-08-12 18:50:27
0
mr.kessy5
Daddy A. :
masihi😌😌😌
2026-08-11 19:41:31
1
justinejustinej
Justine :
Ndacha unajikologa soma wafilipi 2:8-10
2026-08-12 06:03:30
0
odebaobeba
Odeba Obeba :
Matumizi ya " Jina la Yesu" ni kama ufafanuzi ya mfano, Yohana Mbatizaji ndo aliyetabiriwa katika Kitabu cha Malaki 4:5 kwamba atakuja " Eliya ". Maanake Yohana si Eliya mwenyewe, wala si kwamba ataitwa jina 'Eliya', bali atakuja kwa roho, mamlaka, na nguvu za Eliya
2026-08-12 05:54:01
1
mswahilitz958
[email protected] :
Ndacha anajua anachokisema,wengine wanatetea hoja
2026-08-11 15:28:17
0
user74761579
James :
Mwankemwa: Kubatizwa kwajina la Baba Yehova Ni kwasababu Yeye nimtumaji na Source wakila kitu na was uhai na uzima , kwa jina la mwana ni kwasababu Jina la mwanae Yesu nalo linamaanisha (Yehova ni wokovu) kwahiyo Yehova anatuokoa kupitia mwanae Na lazima uamini na ukili kama Yesu ni mwana wamungu na alitumwa na mungu , "si kuwa Yesu ni mungu" ili upate uokovu Na kwa roho mtakatifu ni kea sababu bila roho mtakatifu hatuwezi kumsogelea mungu wala kumjua yeye na mwanae , Kea sababu Roho mtakatifu ni "Uwezo wa mungu" si mungu roho , anao utumia kwasisi kufanya yale anaoyahitaji kupitia Yesu kristo kama mpewa mamlaka yakufanikisha jambo lake, Amen👏🏻
2026-08-13 08:37:44
1
user2198807550106
jovan :
ndacha ni mwalimu nzuri sanaa
2026-08-21 23:55:01
0
omari.kitabu
Omari Kitabu :
Ndacha amenyooka
2026-08-13 20:20:45
0
nado8209
nado :
uzur ni wenyew t cc tumekaa pemben tunasubir mtavokubaliana ila allah ni mmoja t hana mtoto
2026-08-12 17:35:26
0
akulema.sivalinga
Akulema Sivalingana :
ndacha an sahihiwengine wana teteya ugalo
2026-08-12 07:15:29
0
To see more videos from user @7jesusfirst7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About