@mathayosangason: Sitafuti umaarufu, wala kujulikana unaweza usinifollow ila ukweli ni lazima ufike hata kama hamtaki 𝗟𝗲𝘁'𝘀 𝗧𝗮𝗹𝗸 𝗮𝗯𝗼𝘂𝘁 #𝗟𝗼𝘃𝗲 #𝗥𝗲𝗹𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀𝗵𝗶𝗽 #𝗙𝗶𝗻𝗮𝗻𝗰𝗲 #𝗕𝘂𝘀𝗶𝗻𝗲𝘀𝘀 #𝗧𝗲𝗰𝗵 #𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵 #𝗣𝗲𝗿𝘀𝗼𝗻𝗮𝗹_𝗗𝗲𝘃𝗲𝗹𝗼𝗽𝗺𝗲𝗻𝘁 #𝗧𝗿𝗲𝗻𝗱𝗶𝗻𝗴 #𝗟𝗜𝗙𝗘

𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮
𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 10:50:00 GMT
2262
145
28
11

Music

Download

Comments

mathayosangason
𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮 :
Sitafuti Umaarufu unaweza ukaangalia ukaskiliza na usinifollow Lengo langu ni kufanya watu waache kusema amina kwenye vitu ambavyo hawana uhuru wa kuvifikiria
2026-08-11 11:00:30
7
blezafrica0
BlezAfrica Pan-African World :
NI SAHIHI MUNGU WA DINI HANA MAHUSIANO NA MWANADAMU
2026-08-11 12:30:16
3
user615168778880
user615168778880 :
Fact
2026-08-11 11:58:40
2
rumasblb7jk
Antoine Rumashana :
ii génération yetu inamambo mengi kichwani, haizibitike tuko wengi tusha achana n'a mambo ya dini
2026-08-11 13:21:12
1
kirikuuu013
Mc kirikuu🎵🎶 :
kitu pekee unachotakiwa kujua shetani na MUNGU ni shilingi Moja yenye pande mbili
2026-08-11 12:57:30
1
peter.james.kadud
Peter James Kadudu :
mwandambo2 oyeee
2026-08-11 11:50:40
1
ismailyheart
#joroh prime👑 :
hapa kuna kitu nagundua kwa mfano ukiwa na mti unautumia kwa ajili ya kivuli na unakufaidisha kwa ajili ya kivul lakin unakuta huna aman na kivuli kile mara washa washa mara nyoka wakali unacho amua ni kupuliz dawa ili kuua wadudu na nyoka lakin baada ya miez kadhaa unakuta wamerudi tena ndivyo anavyo fanya mungu ili muelew uwepo wake ukifuatilia vizur biblia inaelez waz waz kwamba shetan bado ako jela yake na ana kampen kubwa sana
2026-08-11 12:11:10
0
tawa_cleaners
Tawa_Cleaners-tz :
unapoint.kuna siri kubwa ambayo hatujui
2026-08-11 13:46:38
0
nagasaki_j
Nagasaki :
Umesahau “ Yesu nae akafa kwaajili ya dhambi za wanadamu” akamuacha shetani
2026-08-11 13:50:00
0
autadidacter
autodidacter ✍️ :
na ukumbuke shetan huwa anapiga story na Mungu kisa cha ayubu
2026-08-11 13:48:36
0
matimanomumbere
M VIE CULLINAN :
Una akili 🔥🔥🔥
2026-08-11 11:45:55
2
pharm880
pharm :
Sterling akimuua jambazi movie inaisha😂😂usitake movie yetu iishe mapema bro
2026-08-11 12:29:53
0
headmasterg
Uncle Pastuzo :
Ivi shetani huko aliko nae huwa anaumwa , anakosa chakula , anakosa pakulala ..au ni sisi🥲🤔
2026-08-11 11:19:06
3
galgani33
Galgani3 :
kaka uje na mafundisho ya budha io ndo dini inayo eleweka.
2026-08-11 13:51:10
0
garma849
garma gideme :
Huyu kijana asichukiwe, kwa anayoyasema ila lawama ziwaendee waalimu wa injli inayoendelea humu duniani kwenye madhehebu karibu yote. DINI PEKEE ALIYOIREJESHA MUNGU KATIKA WAKATI HUU NI LDS CHURCH WHICH TEACHES THE TRUE GOSPEL DOCTRINE, ( Wamormons)
2026-08-11 13:36:19
0
user28360760013448
msukuma mnywamaziwa :
safi kwa sasa mwelevu unazidi paaa
2026-08-11 12:51:45
1
williemnyamwezi
williemnyamwezi :
Basi shetani ni Last born wa Mungu
2026-08-11 13:22:55
1
iamkareem78
kareem 6th :
Aftakafilullah🤭
2026-08-11 12:59:01
0
aureus6663
️ :
🌹
2026-08-11 12:51:37
1
nikolaus.menes
Nikolas menas TZ :
😂😂😂
2026-08-11 11:03:39
1
To see more videos from user @mathayosangason, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About