@eghomotors: EGHO MOTORS sisi tunahakikisha tunakuuzia gari na tuhakikisha unakuwa salama pia kwa kukupa elimu sahihi ya matumizi ya barabara karibuni sana

eghomotors
eghomotors
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 10:50:49 GMT
196005
12739
253
245

Music

Download

Comments

ibrahim.waupole
Ibrahim Waupole :
hii je?
2026-08-11 18:54:59
35
user5900877427901
user5900877427901 :
kibao cha kumaliza hamsin kina mistali mitano katikati ya kibao cha kumaliza hamsin hii misitali ina manisha nn?
2026-08-11 12:31:58
5
ozzy.drex1
Ozzy.Drexm@n :
Umetixha 🙃😁
2026-08-12 13:13:54
1
mariam.mruma
mariam mruma :
🙏🙏nazidi kujufunza mengi
2026-08-21 12:17:55
1
samuel_kariuki87
Samuel kariuki :
good teacher God bless you so much 🙏
2026-08-22 07:44:43
1
buu.strikers23
Buu Strikers23 :
Kwenye zebra
2026-08-12 04:22:49
1
official.mr.smile03
𝕄𝕣 𝕊𝕞𝕚𝕝𝕖 :
Vp kwenye alama ya hamsini 50 nikaendesha kwa speed ya 30 Je ni kosa au sio kosa
2026-08-12 10:55:51
0
georgecharles942
georgecharles942 :
kuna alama R na limechorwa bus, Maana yake ni nini?
2026-08-13 21:57:34
2
user5768576390846
@francisringo1 :
N2
2026-08-13 18:48:07
1
makarius.rweyemam
Makarius Rweyemamu :
naomba kuongea na ww
2026-08-21 21:07:25
2
baraka.shayo710
baraka shayo :
mbn kwenye 50 yenye mistar umetuchanganya au sio tanzania hii
2026-08-12 04:43:00
0
james.jams92
James bike💯💯 :
t10
2026-08-12 14:40:39
0
user7033003710230
user7033003710230 :
Mstali solids line mmoja katikati ya barabara nikumbushe una maana gani?
2026-08-17 19:49:50
1
saidi.mchongo
SAIDI MCHONGO :
kwanza umenifundisha nashukul mung akujarie
2026-08-12 12:55:40
1
jumaomary81
mimi mimi :
mbona nimempenda huyu Dada
2026-08-12 11:03:57
1
emmanueljohn717
emmanueljohn717 :
hiyo mistari ya kwenye end of speed limit sign inamaanisha nn
2026-08-12 07:49:29
1
thomka_official_tz
master plan_official :
nimewahi ona alama imechorwa kichwa kisha umechorwa mstari mwekundu kutoka utosin hadi kwenye kidevu hii inamaana gan???
2026-08-12 13:05:18
1
yusuphchipo4
yusuph :
kuna broken line ndefu na kuna zingine fupi je zina kazi tofauti?
2026-08-12 14:31:02
1
mussa.boazi0
Mussa Boazi :
asante dada
2026-08-12 09:14:42
1
shabanisaidi673
Shabani Saidi673 :
Dada yangu nakufatilia sanaaaa, ila leo umetudanganya,hapo kwenye speed limit, hiyo ya speed limit ya kumaliza, huruhusiwi kuanza kukimbia mpk ufike mita 500 ndyo uanze kuongeza speed, hiyo mistari iliyokatwa hiyo 50 ila mstari mmoja ni mita 100, ukikuta 3 juwa baada ya mita 300 ndyo uanze kukimbia siyo hapo hapo uanze kukimbia baadq kukipita.
2026-09-04 13:25:15
2
streetkingz.vlog
BabyflippaSkB :
I don’t even watch them sign😭
2026-08-12 05:16:56
2
kayagejr
kayageJr :
kwenye huo alama ya mwisho wa wa zuio la spid 50 kuna huo mistari midogo imekata hio alama je huo mistari meusi iliyokata ina maana gani?
2026-08-14 10:41:38
0
kinsdone
kinsdone :
nipe maana ya hio mistari meusi uliokata kwny 50
2026-08-15 15:56:37
0
yohananzowa685
Yohana Nzowa :
m naomba mnionyeshe alama ya kuwa apa pana walevi m siijuwi alama yaoo
2026-08-12 11:06:46
2
emmiliana0408
Emiliana _01 :
Unanisaidia sana ubarikiwe
2026-08-12 08:37:46
1
To see more videos from user @eghomotors, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About