YOU CAN FOOL PEOPLE SOMETIMES, BUT NOT ALL THE TIME.
2026-08-11 17:44:46
1
🏅 :
ninge comment ila......... read more
2026-08-12 06:49:33
1
Husna Kikolowy :
Apo leo umeongea jambo la maana sana
2026-08-11 13:20:21
146
Aisha black :
Safiiiiiiii nami i nipo upande wake
2026-08-11 16:24:54
0
NeuroX MD Étudiant :
Mo must go....💔✊✊
2026-08-11 15:31:40
0
shady tz :
live mzee said
2026-08-12 20:34:00
0
hamisisimbasimba :
leo umenena
2026-08-12 07:57:02
1
Joseph Jilili :
Tunamzarau tu MO kwa chuki binafsi ila Simba kaitoa mbali sana, sioni kama kuna mtu mwenye uwezo wa kuwekeza kama yeye, huyo Jayrutt sioni kama anaweza kutoa pesa za kutosha kuendesha timu kubwa kama simba
2026-08-11 15:22:50
34
user5559591005011 :
uyu mzee akili kubwa sana
2026-08-11 12:06:51
67
DeE Pablo :
Deal done ✅
2026-08-11 14:05:14
21
ayobow56 :
mo wamuuzie Simba mzima sio asilimia
2026-08-11 16:26:29
6
official mush🕸️buibui junior :
iyo kwel leo nipo upande wa mzee said
2026-08-11 13:59:40
25
Sebari Mkwizu :
nipotayari mzee saidi mm nipotayari kuchanga
2026-08-11 12:03:05
16
J :
Ni kwel kbs baba ang huy mo atuachie timu yet bhn ana msaada wwt
2026-08-11 13:33:15
16
traver163 :
Free simba
2026-08-11 21:59:54
1
Vyan cute :
kasema point kweli unajua shida inakuja simba ni ya mo daaaah
2026-08-11 13:38:31
12
Mbagala :
mi nnachotaman kujua waanzilishi wa hii simba ni akina nani ukte huu ni urithi wa familia
2026-08-12 09:30:33
5
mwasongwemwakagir :
Hata mm nitachanga
2026-08-11 14:59:58
2
Susan :
daah mzee mitano tn
2026-08-12 05:32:44
2
jaamezy :
yani leo mzeee saidi umeongea point
2026-08-12 05:05:40
1
G8 :
yanga walishindwa mambo ya kikapu mtaweza
2026-08-11 14:17:07
1
derickdrummer1 :
Ni kweli kabisa maana nakumbuka niliwahi kwenda kijijini na babu yangu akaniambia "mjukuu wangu haijalishi comment yako haina maana kwa vyovyote vile bado kuna mtu ataisoma mpaka mwisho" 😂😂
2026-08-12 13:38:57
3
Manyanda Msukuma. 🇹🇿 :
Kbs mo.aondoke Simba tumemchoka.
2026-08-12 07:45:16
3
didejo :
Wana Simba tusishikiana mapanga yatapita tu😭😭😭😭
2026-08-11 14:07:46
3
agnethakyaruzi :
Mo atuachie timu yetu
2026-08-11 14:21:15
2
To see more videos from user @coolie_brian, please go to the Tikwm
homepage.