@bbcnewsswahili: Rais wa Marekani Donald Trump inadaiwa alitolewa kwa siri Uturuki baada ya maafisa wa usalama kupata taarifa za tishio dhidi ya maisha yake. Ripoti zinasema Trump aliondolewa kwenye ndege aliyokuwa ameonekana akipanda, akafichwa kupitia kitoroli cha chakula, kisha kuingizwa kwenye ndege ya kijeshi kuelekea Uingereza. Baadaye aliingizwa kwenye Air Force One na kuendelea na safari ya Marekani. Mwandishi wa BBC @sammyawami na taarifa hii #bbcswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryou #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral #trump #iran

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 13:00:00 GMT
123237
5539
120
167

Music

Download

Comments

honourable72
Honourable :
maafisa wa usalama wa marekan Wana HQ aseee
2026-08-11 13:55:52
38
lix598
Lix :
Kama unamkubali babu trump gonga like hapa😁
2026-08-11 13:32:48
26
mtkenyaheritage
Blackman intell :
Let him leave like Khamenei why is he afraid?
2026-08-11 18:36:15
0
kariakoo_super_shopping
kariakoo super shopping :
😂😂😂Mbona anaogopa sasa
2026-08-11 13:29:51
16
chameleone3
chameleone3 :
atapatikana tu 😁😁 km si leo bas kesho
2026-08-11 16:37:41
14
vernance
Vernance :
sasa mbona iyo ndege haikushambuliwa kama habari zilikuwa ni za kuaminika?
2026-08-11 14:37:49
15
msanjalaone
msanjala finnest :
sio Neto soma ni kiswahili tu NATO
2026-08-11 14:00:21
4
meriwasc
mwangaza :
hivi mnatuona mang'ombe?. trump anatosha vipi kwenye toroli la chakula la ndege?
2026-08-11 14:33:23
7
yes.yws7
yes yws :
UONGOOO
2026-08-11 15:31:21
1
hu.mat
شرجي :
Ipo siku nasaa atapatikana tu mungu ni mmoja tu na mungu hapendi zulma inshaallah iko siku
2026-08-11 19:21:41
1
josephtesha00
josephtesha00 :
hatumuachi mpaka tutimize kisasasi MUNGU yupo nasi
2026-08-11 17:06:18
3
ghislainkisughumogmail
KISUGHUMO GKK🦅 :
na mbona hata hio ndege ya zamani haiku ripuliwa ao kufanywa chechote ?
2026-08-11 15:31:51
0
anakupendakweli
Love Testing :
izi habari msiziamini kabisa maan usalama wa USA ningumu sana kutoa siri za wanavyo mlinda raisi....Kwaiyo hata izi habari zimetolewa kwasbb trup ivi karibuni ata safiri tena kwaiyo bado wana wapumbaza watu
2026-08-11 14:21:39
1
allyahmady5
ally ahmady :
😂😂😂😂 kumbe linaogopa
2026-08-11 17:56:55
0
557mybig
557my :
heee
2026-08-11 14:02:37
1
katwe43
katwe :
tutampata tu hatuna haraka nae manake hata akitoka madarakani bdo tutamsaka
2026-08-11 14:13:44
0
fimbo773
""The Matthew Jr"" :
Marekani ni taifa chafuzi la amani ya ulimwengu 😏😏
2026-08-11 13:52:17
5
merinyojr
Merinyojr :
mbona walinzi hawana siri
2026-08-11 14:02:50
1
user31122984157090
Camara Ishenda :
nomeipenda iyo movie 🎬 ☺️
2026-08-11 13:33:11
1
user2260073972629
greyson lutenta :
muiran nimemkubali
2026-08-11 19:06:35
0
fifinaa75
Fifinaa75 :
Nilichojifinza nikwamba apa Dunian ukiwa na pesa ni shida ukiwaasikin ni shida mwenyzmungu atupe mwisho mwema ili tukapimzike uko paradiso🙏🙏
2026-08-11 19:53:35
0
corazon20241991
C𝒰 𝒯 𝐸-Dorrie🦋❤ :
Alijisahau YOOH
2026-08-11 19:15:49
0
zeddlema
zedd :
CIA
2026-08-11 19:44:02
0
kiukobwimbwi
kiuko mr :
JE hiyo ndege aliopanda awali ilishambuliwa? kama ijashambuliwa ni uoga na kuweka wasiwasi tu.
2026-08-11 19:02:53
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About