@isackpate: ni kuchagua kulinda kile ambacho bado kina thamani. ❤️ Nimekusamehe, mpenzi. Sihitaji ahadi nyingi, nataka tu tujifunze kutokana na yaliyopita na tusirudie kuumizana kwa jambo lile lile. 🖤 Kwa sababu wakati mwingine upendo hauhitaji mtu mkamilifu unahitaji watu wawili wanaojifunza kulinda moyo wa kila mmoja. ❤️ #IsackPate #Mapenzi #Mahusiano #TrueLove #LoveQuotes