@nahilandzaynab: Nani hapendi hii tabia?#fyp #swahilitiktok #tanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪

Zaynab🇨🇦🇹🇿🇰🇪🇸🇴🇵🇸
Zaynab🇨🇦🇹🇿🇰🇪🇸🇴🇵🇸
Open In TikTok:
Region: CA
Tuesday 11 August 2026 12:11:38 GMT
285813
8714
263
296

Music

Download

Comments

gloria.kalokola
FIRST BORN GS :
Ume jalibu kuwapa soda, waka bakiza
2026-08-12 05:06:28
191
guysalha
Guy salha🥰 :
kwanza wageni siwapendi🫣😅😅 hata kwawatu siendi😏😅😅
2026-08-11 22:39:52
112
wardaah54
🦋wardaah1🌹🦋 :
my favorite tutorial 🥰🥰🥰 love you madam
2026-08-11 12:16:33
20
officialcily
Secily kijah❤️‍🔥🔥 :
unachukua zile nusu nusu nusu nusu nusu nusu nusu nusu nusu nusuuuuuuuuuu unachanganya inakuwa chupa kamil😂😂😂
2026-08-11 19:14:23
25
hasnaaa644
Hasnaa collection Arusha👗🧕🏻 :
Kwel asee uwe unanunua zile ndogo
2026-08-11 19:56:58
10
zeddyp001
Zeddy001 :
Nunua 200mil hio 330 n kubwa kunywa mara Moja 🥰🥰
2026-08-11 15:58:29
3
jonasbukengwa
Pol_joee :
kwako wap nije(Mgeni), mi baba mkwe wako, hiyo ni tabia yangu, tuone kama utanipamoja shaa!
2026-08-11 12:38:11
13
jujuu.mehmety
jujuu mehmety جويريه :
ayo yalobaki nitiliye humu
2026-08-11 12:37:18
1
tiffah09
🧕⭐️🤑(لٓطِيفٓة) :
wape glass
2026-08-12 10:24:00
5
mayuu177
mayuu beauty 💄 :
Hahaha siwez kusahau wagen wali bakisha maji nikawapikia chai wakanywa wenyewe😂😂😂
2026-09-26 12:57:36
2
zaiwa09
zay wa sam :
Acha tu
2026-08-11 15:47:30
1
miss.cathe7
miss cathe💃 :
nimecheka mpaka nikapoteza kumbukumbu aaaayiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-12 06:27:01
0
nurrydattany8
Nurrydattany :
kweli kabisaa dear
2026-08-12 15:24:23
1
user96181176937330adam
Israh Adam :
siji Tena kwako akufukuzae hakuambii toka😂😂
2026-08-11 18:52:28
3
moonlight.inks
💫me✨she🌞 :
usitufokee basi
2026-08-11 14:01:34
1
anwim26
Anelly❤️ :
tumia glass tu, wakiomba maji chukua glass unammiminia unarudisha chupa
2026-08-14 08:45:30
1
bhupenbhusal1
Bhupen bhushal :
😂😂😂😂😂sawa
2026-08-11 19:26:04
0
idontknowwhololll
idontknowwhololll :
Omg yes
2026-08-11 19:00:13
1
bertha.henerico
♤◇~~ msukuma Lady♡♧ :
daaahh!!!siridii tena dada angu ujumbe ushanifikia
2026-08-11 17:48:48
4
de7.com
Seven7️⃣ :
Unaongea Sana Mwanangu sijasikia hata moja!
2026-08-11 16:17:27
3
itsmenay2632
ItsmeNay :
Nanunua moja kuuubwaaa lile la buku naweka glasss sitaki upumbavu
2026-09-27 07:55:39
2
sunshine_18gee
Sunshine 🌞🥰 :
inakera sana akii😂😂😂
2026-08-11 17:15:43
3
i.am_zuuh
I.am_zuuh🤪 :
oooh i missed u
2026-08-11 15:49:36
1
msuya001
Madam msuya 001 :
Siumpe na class
2026-08-11 21:24:38
2
user9460258086230
faiza Omar :
wengine wananawiya mikono wambie haoo
2026-08-11 12:33:41
2
To see more videos from user @nahilandzaynab, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About