@ngogoherbalist:

NGOGOHERBALIST
NGOGOHERBALIST
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 12:15:07 GMT
32582
642
15
23

Music

Download

Comments

user3828007323935
🎉🥳 favor :
mmmh nilikuwa nakula hii kidude na jambaa hovyo hovyo vitu kama pilau 😂🤣🤣😅😂steak tena japo n vzr
2026-08-11 12:54:10
2
mariajoel468
Maria Joel :
dr nielekeze tiba kwa mtu aliye na shida ya ini
2026-08-12 06:34:17
0
elizabethfredrick2
Elizabeth Fredrick :
da mimi nilitafuna siku moja nilihisi kifo si kifo yaani nalihisi kama nimefungiwa kwenye chupa
2026-08-12 16:28:56
0
baba.muu86
Baba Muu :
mimi nikimeza tumbo linajaa gesi shida ni nini dokta
2026-08-11 18:43:14
0
habially
user8112243271377 :
Tatizo inasababisha mdomo kunuka
2026-08-13 12:15:42
0
a.n.i.t.h.a6
A N I T H A :
Ni kweli kabisa na ushuhuda na hicho kitunguu swaum
2026-08-12 10:53:15
0
user7339126657010
Nasmira :
mim nikitafuna nanyongwa natumbo. mpaka nitapike. nahata nikitwanga niweke kwenye maji yamoto hivyo hivyo ila nikimeza kama dawa safi
2026-08-11 12:23:08
0
bintliumba
BINT LIUMBA :
mm nikila hiki kitunguu tumbo linauma na linawaka moto jamani
2026-08-12 18:24:45
0
jamirasalumu650
Ladymam :
mm nameza kama vidonge asubuhi na mchana najioni kwa wiki t inayokuja napumzika nimezizowea sana hadi kei inakuwa sasi
2026-08-11 17:23:45
1
kafulila57
Black smith✅ :
sema harafu ukiswet 😂😂
2026-08-11 13:28:19
0
michgunathlete
Athletic :
nlkula punje Moja macho yalivimba yakawa mekundu nkashindwa kuona siku nzima
2026-08-13 14:05:00
0
To see more videos from user @ngogoherbalist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About