@assad_mzururaji: LINDI KUNA NINI?

Assad Mzururaji
Assad Mzururaji
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 12:16:16 GMT
5050
336
27
8

Music

Download

Comments

tariq90140
TARIQ :
Ila mdigo umejua kuukandia mji wetu Waona hakuna mazuri huko sio hayaa mzee tutajitahidi inshaallah
2026-08-11 15:53:31
3
martedimohamed
martedimohamed :
Leo nakubaliana na ww👍👍👍👍👍
2026-08-11 13:06:38
3
jitume.boy
JITUME BOY :
kwani lind napo nitanzania
2026-08-11 13:09:29
0
giddy9dec
giddy🇹🇿 :
Kuna fursa gani kaka hata watu wawekeze!
2026-08-11 13:30:38
0
bob_hans_new_season
Bob Hans new season :
kuna msemo mmoja ata mtu akiwa akwnye mawazo sana anasema "nipo KWNYE Lindi la msongo wa mawazo" Lindi ni nin hasaaaa
2026-08-11 17:01:07
1
navigator.chindul
Navigator Chinduli :
je hao wawekezaji wanafika Bei maana huwezi kumlazimisha mtu kuuza wakati pesa ipo benki unaichungulia😂
2026-08-11 13:51:29
0
makinikia1
Makinikia :
endelea kutafuta sababu usiseme kama hawataki kuuza nyumba zao ndio sababu.
2026-08-11 13:06:24
0
tangavision1
Tanga Vision :
huu mji unahitaji Uwekezaji na mazingira ya Uwekezaji kwa Wawekezaji.
2026-08-11 13:04:45
0
dullyxd_
Dullyxd_ :
Daah Lindi napapenda sana
2026-08-11 12:36:19
1
user2276735462825
Godlove in Wheels :
Je, kuna wawekezaji wapo tayari kununua hizo nyumba na wenyeji wakakataa?
2026-08-11 13:09:47
0
navigator_classic_outfit
navigator_classic_outfit :
Ttzo mukoa ya kusin uchaw mwingin😅😅😅
2026-08-11 14:33:03
0
mountbattenwinds
Windsor :
Assad lindi pagumu mzee ukipita tu kwenda mtwara unaona nikiishi hapa sitoboi🤣🤣🤣
2026-08-11 12:21:52
1
jodisfanvid
Foung PH :
Lindi ni ukosefu wa vyuo vikuu tu
2026-08-11 16:53:34
0
selemanihashim969
Selemani Hashim :
shida ya hapo ubinafsi mwingi na ndyo maana apaendelei
2026-08-11 17:15:44
0
rammykandra
Rammy Kandra :
Mzunguko wa pesa amna
2026-08-11 18:42:02
0
mm92309
Kwenye One and two :
wauze wakaishi wapi sasa na hapo ndo kwao. Yan point ni kutafuta namna ya kuwawezesha, sio kuwafukuza kwa kigezo cha uwekezaji feki.
2026-08-11 16:32:07
0
petro.ludovick
Petro Ludovick :
Nataka nikwambie lindi ni mkoa ambao umezindikwa kuwa maskini milele amini hilo nitakuja siku Moja
2026-08-11 19:01:54
0
marijanijames
prince⚠️ :
😂samahan madam kwani usipoisema lindi unakuwa haupati choo?
2026-08-11 18:26:20
0
naseeb_f
Naseeb F :
mjadala mzuri sana..Kilwa masoko na kivinje pia.
2026-08-11 12:22:51
0
babaparoko20
BABA PAROKO ☠️🇹🇿 :
😁😁😁
2026-08-11 12:24:10
0
To see more videos from user @assad_mzururaji, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About